Search results

  1. Erick B

    Kiwanja kinakodishwa Arusha

    Kiwanja kipo Arusha majengo juu kituo miambo kunja kushoto kama mita 50, kuna maji umeme na rum kama 2 (zinaeza kua office au etc.) available. Kinafaa matumizi ya Garage, packing or other company activities. eneo limetulia na usalama wa kutosha- geti kubwa & fence, choo kiko karibu na lami (50m)...
  2. Erick B

    Kiwanja Kinakodishwa Arusha

    Kiwanja kipo Arusha majengo juu kituo miambo kunja kushoto kama mita 50, kuna maji umeme na rum kama 2 (zinaeza kua office au etc.) available. Kinafaa matumizi ya Garage, packing or other company activities. eneo limetulia na usalama wa kutosha- geti kubwa & fence, choo kiko karibu na lami (50m)...
  3. Erick B

    TLC vs LG

    Naomba ushauri kwa wenye expirience kutumia TLC tvs ziko vipi zinadumu? na quality yake vp na kama zinausumbifu... zinaeza kuizidi lg kwa ubora ntashukuru sana.
  4. Erick B

    Nataka kujua jinsi ya kutengeneza Bisi - Popcorn : Ladha zake

    Naombeni kujuzwa namna ya kutengeneza ladha tofauti tofauti za bisi/pop corn vitu ambavyo wanachanganya.. mpaka sasa nimejua kuna ladha ya chokoleti, sukari tangawizi lakini sijajua vitu wanachanganya.. Nimeamua kujiajiri naombeni saaana msaada.. nipate ladha ya kipekee nzuri kuna nliowafuata...
Back
Top Bottom