Habari wana udsm wote wapya na wale wanaoendelea ..uzi huu ni maalum kwa ajili ya kuexhange room au kuuza room kwa wale wanaohitaji kwenda kukaa nje karibuni sana tujipange na 2017/18.....
Habari zenu kwa wale ambao tumechaguliwa kwa fani ambzo zipo chini ya COICT UDSM, shule imeshaanza na ratiba ya vipindi inapatikana shuleni kijitonyama usiifuatae ratiba ambayo inauzwa stationery za main campus kwa sababu ni ya mwaka jana na masomo yamebadilika pia module codes zimebadilika.
Kwa mtu aliyesoma dip. In electronics and telecommunication anaweza kusoma telecommunication UDSM.kama ndio ni kwa mda gan?.msaada nwa anayejua tafadhal. Thanks in advance!
Wale wadau wote wa arusha tech. College where skills make the difference kesho wapendwa wenzetu wanakwenda kugraduate. All the bect our beloved csters and brother.
Kwa miaka ming imezoeleka m2 kusoma o level kwa miaka minne halaf a level kwa miaka 2,lakn kwa dunia yetu ya sasa ambayo inahtaj wa2 wenye ujuz kulko maneno meng ni vema kujiunga na technical college kwa kufanya hvyo utakuwa umeokoa miaka 2 ya kuendelea kusoma theories ambazo in real sence...
Habari wana JF,
kwa tetesi nilizopata matokeo yatakuwa displayed tar 08/02.
============
MATOKEO RASMI YANAPATIKANA HAPA -> NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.