SoC04 Threads

  • Suggestion Suggestion
KUBADILISHA TANZANIA TUITAKAYO. Tanzania nchi Yangu iliyobarikiwa kila njanja, Tanzania iliyo na Neema ya uoto asili, Nchi iliyo na Watu Wenye afya ,Iliyobarikiwa Viongozi walioleta Amani na...
2 Reactions
1 Replies
328 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
I. Introduction The dim light of the clinic barely illuminated Aisha's face, etched with worry. Her baby, normally so full of life, lay listless in her arms, his tiny chest heaving with each...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Nguvu za giza inaweza ikawa uchawi, kulimishwa usiku, kurogwa ,kubebeshwa mikoba ya kifamilia na hata pia kutumiwa majini. Sababu kubwa inayosababisha wanafunzi kufeli katika masomo yao ni...
0 Reactions
1 Replies
378 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Tanzania inazidi kuongezeka hasa Kwa idadi ya watu tulikuwa ml 60 kwa Sasa Kwa takwimu zisizo rasmi tunaenda kufika ml 67 hivyo tunazidi kuongezeka Kwa idadi ya watu ndani. Nchi yenye watu wengi...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Ili kuleta Tanzania iliyo imara katika nyanja tofauti za afya, michezo, kijamii, na uchumi tunahitaji mikakati thabiti na ushirikiano wa pamoja kutoka kwa serikali, jamii, na sekta binafsi. Katika...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Tanzania tunayoitaka ni taifa linalojengwa juu ya misingi ya usawa, haki, na maendeleo endelevu. Moja ya changamoto kubwa tunazokabiliana nazo ni mgawanyo usio sawa wa madaraka na mishahara kwa...
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Katika Tanzania tunayoipenda, uhuru wa kuwasiliana na kutoa habari ni nguzo muhimu kwa maendeleo ya jamii yetu. Hata hivyo, sheria ya serikali ya kutoza leseni kwa vyombo vidogo vya habari na...
1 Reactions
0 Replies
297 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Serikali inapo amua kufanya jambo na watendaji wanapo timiza majukumu yao hakuna kinacho shindikana.hatua ambazo serikali inapaswa kuzichukia kuwalinda wananchi na matukio ya taasisi/ vikundi vya...
0 Reactions
4 Replies
331 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Leo tunakutana hapa kujadili mustakabali wa nchi yetu katika ulimwengu wa teknolojia, hususan Teknolojia ya Akili Bandia (AI). Teknolojia hii ina uwezo wa kubadilisha maisha yetu kwa kiwango...
0 Reactions
0 Replies
456 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Jeshi la kujenga taifa (JKT) ni moja ya chombo kilichoundwa tarehe 10 Jul, 1963 baada ya nchi yetu kupata uhuru. Lengo kuu ni kuelimisha, kudumisha uzalendo, maadili na nidhamu ya vijana na...
184 Reactions
18 Replies
2K Views
Upvote 196
  • Suggestion Suggestion
Awali ya yote, naomba nieleze historia yangu kwa ufupi. Nia na madhumuni niweze kujenga picha ya jumla katika lengo zima la uzi huu. Nilizaliwa katika mkoa wa Mwanza nchini Tanzania, Baba yangu...
30 Reactions
89 Replies
6K Views
Upvote 56
  • Suggestion Suggestion
Katika miaka 25 ijayo, Tanzania haina budi kujitahidi kuwa taifa linalosimamia haki za msingi na utu wa raia wake wote, bila kujali jinsia, umri, au hali ya kijamii. Dira hii imejikita katika...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Nitaanza na simulizi fupi ya wakati nikiwa kama darasa la tano ivi niliona kwenye gazeti moja kuhusiana na mwanajeshi aliyebuni genereta/injini inayotumia upepo,mwanajeshi huyo alisema alibuni...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Jua linapochomoza juu ya tambarare kubwa za Serengeti, milio ya ndege na mivumo ya nyumbu hujaa hewani tena. Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka – taifa ambalo viumbe vilivyo hatarini kutoweka sio tu...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Mashuhuda wa ajali wanasema kwamba, eneo ajali ilipotokea ni hatari na huenda kukawa na jini ambaye anasababisha ajali zitokee mara kwa mara. Wanadai kwamba, inawezekana jini huyo ndio sababu ya...
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Tanzania iko kwenye kilele cha safari ya mageuzi ambayo inaweza kufafanua mustakabali wake kupitia uwekezaji wa kimkakati katika sayansi na teknolojia. Dira ya "Tanzania Tunayoitaka" inajumuisha...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Dunia inapoendelea kukua kwa kasi, ikisukumwa na uvumbuzi wa hai ya juu na maendeleo ya kiteknolojia, ni lazima Tanzania ibadilike na kufanya mabadiliko ili kustawi katika siku zijazo. Mfumo wa...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Shirika la posta nchini kwa miaka mingi toka kuanzishwa kwake limekua na huduma za kusua sua huku kazi ya Usafirishaji vifurushi ikitawaliwa na Sekta binafsi huku Serikali ikipoteza...
2 Reactions
2 Replies
412 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Tanzania Tuitakayo Miaka 25 Ijayo Ni Tanzania Ambayo Inaamini Binadamu Wote Ni Sawa Hakuna Aliye Bora Kuliko Mwenzie Kwasababu Ya Cheo, Jina, Mali Na Mengineyo. Maana Kumekuwa Na Utaratibu Wa...
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Katika Maisha ukikosa mwanzo mzuri basi kila kitu kitayumbayumba mpaka kisimame inahitajika kazi ya ziada kwakuwa chochote kile kikianza na msingi mzuri uwezo wa kustawi ni mkubwa maana watu...
0 Reactions
0 Replies
301 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom