SoC04 Threads

  • Suggestion Suggestion
Tanzania Tuitakayo, Tanzania Tunayostahili Elimu Katika kuunda Tanzania tunayoitaka, elimu inapaswa kuwa msingi wa maendeleo yetu. Serikali lazima ijikite katika kuboresha shule zilizopo na...
0 Reactions
1 Replies
407 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Kumekuwa na harakati nyingi za kutetea haki za mtoto wa kike ambazo chimbuko lake ni kuwepo kwa mfumo ambao ulimpa kipaumbele mtoto wa kiume (Mfumo dume). Mfumo huu ulijengeka na kuwa...
20 Reactions
29 Replies
2K Views
Upvote 114
  • Suggestion Suggestion
'MASINGO MAZA NA MASINGO FATHER', MAYATIMA WAPYA WANAOHITAJI KITUO CHA MALEZI CHA TAIFA. Ndugu zangu, Idadi ya MASINGO MAZA, inatishia uhai wa KIZAZI KIJACHO. Hivi sasa tunaanda KIZAZI ambacho...
2 Reactions
1 Replies
363 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
BARAZA LA MAADILI LA TAIFA KULINDA KIZAZI KIJACHO. Suala la maadili, ni hoja mtambuka, ni suala nyeti katika jamii lenye kubeba taswira ya aina ya jamii tuliyonayo. Maadili sio kama wengi...
1 Reactions
1 Replies
358 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Title: Strategies to Curb Global Warming in Tanzania. Introduction: The United Nations (UN) 17 sustainable development goals (SDGs) which in September 2015 were agreed by world leaders aim at...
11 Reactions
2 Replies
797 Views
Upvote 42
  • Closed
  • Sticky
  • Suggestion Suggestion
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UZINDUZI WA AWAMU YA 4 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE” JamiiForums (JF) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu jijini Dar es Salaam. JF inashughulika na Haki za...
26 Reactions
58 Replies
14K Views
Upvote 56
  • Suggestion Suggestion
KUWEKEZA KWA WALIMU WA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI ILI KUFANYA MAPINDUZI YA SAYANSI. Kufanya mapinduzi ya Sayansi na teknolojia serikali inapaswa kuwekeza kwa Walimu wa masomo ya Sayansi na...
1 Reactions
0 Replies
369 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Karibia sekta nyingi za umma hazitumii mifumo thabiti katika kukabiliana na upotevu wa fedha na rushwa kwa namna tofauti licha ya maendeleo makubwa ya tehama kwa kiasi kikubwa nchini na hata...
1 Reactions
0 Replies
381 Views
Upvote 5
  • Suggestion Suggestion
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejidhatiti kikamilifu katika kupigania usawa wa kijinsia kati ya watoto wa kike na wale wakiume. Lakini kwa siku za hivi karibuni serikali imejenga...
2 Reactions
0 Replies
405 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Sekta ya habari na mawasiliano ni sekta muhimu sana katika taifa lolote linalohitaji maendeleo. Kwa kuwa sekta hii inahusisha kukusanya taarifa mbalimbali,kuzichakata na kuzihariri na baadaye...
1 Reactions
0 Replies
503 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA hufanyika kwenye ngazi ya shule ya msingi pamoja na sekondari ikijumuisha michezo mbalimbali kama vile soka, netiboli, mpira wa mikono, nk, ambapo mashindano...
1 Reactions
0 Replies
518 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Binadamu wanamahitaji makuu matatu - chakula/kinywaji, mavazi na makazi. Nyumba sio anasa, bali ni moja ya mahitaji muhimu yanayochochea amani na utulivu, ukuaji wa kiuchumi pamoja na heshima...
1 Reactions
0 Replies
425 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Ni mwaka 2034. Tanzania imebadilika kabisa, ikiwa na miundombinu ya kisasa ya mawasiliano na uchukuzi inayotumia teknolojia za hali ya juu. Haya yote yalianza na maono thabiti na mipango kabambe...
2 Reactions
0 Replies
784 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Kumekua na kero Kadhaa kwenye matumizi ya simu kufanya miamala ambayo huwa inajitokeza na kuchukuliwa kama changamoto ya kawaida bila mamlaka husika kuchukua hatua kutatua kero .Kwa...
2 Reactions
0 Replies
507 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Ukuaji wa tenolojia ya mawasiliano na tehama nchini pamoja na ongezeko kubwa la watumiaji wake unazidi kuleta hofu kubwa kwa jamii juu ya maudhui yasiyofaa yanayopatikana hasa kwenye...
1 Reactions
0 Replies
409 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Sekta ya Elimu nchini Tanzania ni miongoni mwa sekta muhimu ambapo watu wanapata maarifa na ujuzi unaowasaidia kuondoa ujinga, kuwa wasomi na watu wanaoleta mabadiliko Chanya nchini. Sekta hii...
2 Reactions
0 Replies
371 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Somo la kilimo (Agricultural sciences) ni miongoni mwa masomo yanafofundishwa katika elimu ya sekondari pekee kama somo ambalo mwanafunzi anachagua kusoma. Kutokana na umuhimu wa somo hili na tija...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Vyeti vya kuzaliwa ni nyaraka muhimu zinazothibitisha hali ya kisheria ya kuzaliwa kwa mtu na zina umuhimu mkubwa katika maisha ya kila siku.Katika Tanzania mchakato wa kupata vyeti vya...
1 Reactions
0 Replies
542 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
KIKOSI MAALUMU CHA UFUATILIAJI NA UTEKELEZAJI. Serikali iunde kikosi maalum cha kufuatilia utekelezaji na uwajibikaji wa watumishi serikalini na sekta binafsi. Kutokana na watanzania wengi kuwa...
0 Reactions
0 Replies
358 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Baraza la sanaa la Tanzania linahusika kwenye ukaguzi wa maudhui ya sanaa pamoja na utoaji wa hakimiliki ya kazi za sanaa za wasanii wa Tanzania. Baraza hili limekua likijitahidi kuhakikisha...
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom