KERO Threads

Kutoka Kagera-Bunazi, Mji Mkuu wa Wilaya ya Missenyi nawaomba wenye Mamlaka kuweka Taa za Barabarani maana imekuwa kero kwa Wananchi eneo la Mnada (mjajaro) kuanzia njia panda kwenda Kagera Sugar...
0 Reactions
0 Replies
304 Views
Anonymous
KERO 
Nilikuwa na mgonjwa wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na Saratarani, alikuwa anapatiwa huduma Ocean Road, tukiwa hapo tukapata referral ya kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Upanga), Dar es...
34 Reactions
168 Replies
8K Views
Nitoe wito kwa mamlaka zinazohusika kushugulikia uharibifu uliofanywa na mvua katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, barabara ya kutokea Pasua kuelekea Mahembe iliyosombwa na maji, imesababisha...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Habari ndugu zangu wa jukwaa hili ambalo limekuwa sauti Kwa wasiyo sikika. Ndugu yenu katika pitapita zangu nikajikuta nimeibukia Wilayani Kilombero Mkoa wa Morogoro, nilichokutana nacho kwa...
5 Reactions
11 Replies
638 Views
Anonymous
KERO 
Wakala wa mtandao wa Yas wajulikanao Poa Communication tawi la Zanzibar enelo la Amani huduma zao ni mbovu sana. Nilitaka kupatiwa huduma ya Uwakala wa Mixx by Yas na nikaelekezwa niende ofisini...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Uwanja wa Nyamagana ambao upo katikati ya Jiji letu la Mwaka ni moja ya sehemu ambayo inatukutanisha Wadau wengi wa michezo hasa mchezo wa miguu. Pamoja na maboresho ambayo yamefanyika uwanjani...
0 Reactions
1 Replies
481 Views
Anonymous
DOKEZO KERO 
Wananchi wa Kata ya Mabawe Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera tunaipongeza Serikali za Jamhuri wa Tanzania chini ya Dkt. Samia Suluhu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa jitihada za Maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Tangu kuanza wiki hii TANESCO wamekuwa wakikata umeme bila taarifa kabisa kwa wananchi wa maeneo husika Boko magengeni, Bulemawe, Chama,Calfonia, Ndogondogo center na Mtambani. Mfano jumatatu...
0 Reactions
0 Replies
299 Views
Salaam na heshima kwako Mh Waziri Elimu Prof Mkenda. Awali ya yote nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama...
11 Reactions
107 Replies
4K Views
Anonymous
KERO 
Shule ya BEROYA MISSION SECONDARY SCHOOL iliyopo mkoa wa Pwani, Bagamoyo kijiji cha matimbwa ilianza kuchapa wanafunzi mwishoni mwa mwaka 2023 kwa kutumia mabomba ya maji. Watoto wanakuwa na hofu...
0 Reactions
1 Replies
657 Views
Anonymous (98a7)
KERO 
Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), ulipaji wa ada wameweka kwa awamu nne kwa mwaka, Semester ya kwanza awamu mbili na ya pili awamu mbili. Ajabu wameweka deadline ya kulipa ada na mtu akichelewa...
2 Reactions
11 Replies
830 Views
Nimechoka Sana
KERO Responded 
Jiji la Dar es salaam linapitia mgawo mkali wa maji unaoendeshwa kimyakimya huku ukitesa watu wengi. Mathalani, katika uchunguzi wangu kupitia ndugu zangu wanaoishi maeneo mbalimbali ya jiji hili...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari zenu TANESCO mkikata umeme asubuhi tunaomba rudisheni umeme saa kumi na mbili wengine tunaishi mazingira mabaya sana ukikaa vibaya umelala na nyoka kitandani na mna jifunika pamoja kwenye...
3 Reactions
15 Replies
574 Views
Ni jambo la kushangaza, hii nguzo iko hivi, siku ya nne inaisha, inaenda siku ya tano, nguzo hii imelala hivi! Je, wahusika wa kutatua dharura za miundombinu ya umeme mjini Bagamoyo hawajaona? Au...
1 Reactions
2 Replies
278 Views
Anonymous
KERO 
Mheshimiwa Waziri Juma Aweso, Wakazi wa Kinyerezi, hasa Wakazi ambao tupo karibu na mitambo ya kuzalishia umeme ya Kinyerezi; tunasikitika kukiarifu kuwa hatuna huduma ya maji safi kabisa, leo...
2 Reactions
12 Replies
749 Views
Kisesetusese
KERO Responded 
Mkuu Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa. Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Mh waziri una watendaji viburi sijawahi kuona. Au wamegoma? Kuna shida gani ndani ya wizara yako? Tumekaa miezi na miezi maji hayatoki na leo hakuna maji pamoja na ujio wako. Hawa watendaji...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja wa Wanachama wa Maktaba ya Vitabu ambayo ipo hapa Mjini Unguja, changamoto kubwa iliyopo hapa Maisara, Mkoa wa Mjini Magharib ni kukosekana kwa huduma ya maji. Naomba Wizara ya...
1 Reactions
2 Replies
445 Views
Anonymous
KERO 
Nikiwa mmoja wa Watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika nashauri Mkurugenzi wa Halmashauri awalipe vijana wanaojitolea pesa zao ili kuhudumia taasisi, wanakaa hadi miezi miwili bila posho...
0 Reactions
2 Replies
783 Views
Kama unakuja mjini posta , daaa Leo ni huzuni Kuna foleni sio poa, gari hazitembei.. Kama umechelewa kazini, park gari lako request bolt uwahi ofisini
14 Reactions
57 Replies
3K Views
Back
Top Bottom