Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,460
- 62,846
Kila mchepuko umetokea kutamani kuzaa na mimi
Hii imepelekea kukaribia kuwa na watoto 20, wengine wanahudumiwa na mama zao na mimi pia kuwapa ushirikiano kwa vitu vidogo vidogo ili maisha yaweze kusogea.
Sijajua, kwa nini wote wamekuwa na mwitikio huo, au labda watakuwa wamependa mbegu, kwa sababu ata kwenye mifugo na huko mashambani huwa tunachangua mbegu nzuri na kuziotesha ili zitupatie mazao yaliyo bora.
Hivi sasa, wapo wengine wawili ambapo tunategemea hapo mwakani kwenye mwezi wa kwanza na wa pili watuletee wapiga kura wawili.
Sijajua ni kwa nini wanapenda uzao wangu.
Na wazazi wenzangu wote ni pisi kali, waswahili wanaita visu.
Natamani katika uzee wangu, niishi na hao wote niliowaleta duniani; yaani nitengeneze ‘Empire’.
Hapa natafuta kijiji chenye hali ya hewa nzuri, nichukue kama ekari 10, nipige uzio na humo ndani tuburudike na uzao wangu kwa kufuga na kulima vibustani vya hapa na pale.
Muhimu tu,nizeeke vizuri na vijana wangu.
Je, wewe una mpango gani na uzao wako wa nje ya ndoa?