Kuelekea kufunga mwaka,naona vijana wa Lumumba wananena kwa lugha!

Kuelekea kufunga mwaka,naona vijana wa Lumumba wananena kwa lugha!

Tigershark

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
7,051
Reaction score
12,573
Ni dhahiri sasa kwa yanayotokea ndugu zangu wa Lumumba ukisoma michango yao na hoja zao ni kama wamepagawa!
EU na US wamepigilia msumari uliowafanya waanze "kunena kwa lugha"!
Kuna mdau amesema hii ni zawadi ya x mas na mwaka mpya kwa waliokubwa na dhoruba kwa unyanyasaji wa awamu hii!
 
Ukiwa CCM unakuwa na amani moyoni.unakuwa na furaha,unajifunza subira
Ila Ukiwa chadema unakuwa na wasiwasi,hofu muda wote liroho linakuuma.wakulima wa korosho wakifaidika wewe roho inakuwa inauma,tukileta ndege roho inakuuma,unakuwa na wivu wa kingese.unakuwa mshamba..kubwa zaidi unakuwa upo kwenye hatari ya kufa mapema.
 
Sasa hivi ccm mnanena kwa lugha!
 
Sasa hivi ccm mnanena kwa lugha!
Bora sisi tunanena kwa lugha ila tupo [emoji123][emoji123][emoji123]..chama dume
Nyie ndio hampo kabisa hata nguvu za kutoa matamko yenu mmeishiwa
Hapa kazi TU 2020-2025
 
Ni dhahiri sasa kwa yanayotokea ndugu zangu wa Lumumba ukisoma michango yao na hoja zao ni kama wapmepagawa!
EU na US wanepigilia msumari uliowafanya waanze "kunena kwa lugha"!
Kuna mdau amesema hii ni zawadi ya x mas na mwaka mpya kwa waliokubwa na dhoruba kwa unyanyasaji wa awamu hii!
kJZWYia.gif

Eti wananena kilugha hahahahahhaaaaaa!!
 
Ni dhahiri sasa kwa yanayotokea ndugu zangu wa Lumumba ukisoma michango yao na hoja zao ni kama wapmepagawa!
EU na US wanepigilia msumari uliowafanya waanze "kunena kwa lugha"!
Kuna mdau amesema hii ni zawadi ya x mas na mwaka mpya kwa waliokubwa na dhoruba kwa unyanyasaji wa awamu hii!
Wewe u ataka kujisifu kwa kuishi kwa kutegemea misaada? Ili tujikomboe ni lazima tuwe wamoja kwanza na pili tuachane na misaada kabisa. Gharama zake ni kuteseka kwa muda kisha tutasettle maisha yote yatakayofuatia. Fikiria una familia yako kwa maana ya wewe na mke na watoto kisha ukawa unaishi kwa misaada ya majirani na matajiri kisha matajiri wakataka wewe uwe unampikia mkeo na kumpelekea maji bafuni hata kama bafuni ulishaweka shower utakubali? Au hata wakakwambia ili tukupe msaada ni lazima tulale na mkeo au hata kabinti kako wewe ungekubali? Kama unatetemekea misaada ya hao basi ujue unatetea majanga. Watuache tuteseke kisha tutapata akili ya kujitegemea tutatoka tuu. Kama wewe ni mfanyakazi jaribu kuchukua salary advance kisha chukua na mkopo mtaani ambao ni asilimia hata 20 tu ya mshahara wako kisha usubiri kama utasettle kirahisi mkuu. Hutisahau maisha. Misaada wakitoa watowe lakini tunatakiwa kujipanga tutoke wenyewe. Tatizo letu ni kutaka kuishi kama wao. Sisi sio wao. Magari ya kifahari tuachane nayo tutumie Corolla kwa mawaziri na wakuu wa mikoa tutatoka. RC akitaka kwenda field akodi magari binafsi na hata wizarani kuwe na magari machache 4*4 kwa ajili ya field mengine ni Corolla na hata Vitz ni sawa tuu. Tutatoka na hatutawategemea hawa watu kabisa. Magufuli kanyaga twende usiwalegezee hawa majizi.
 
Ukiwa CCM unakuwa na amani moyoni.unakuwa na furaha,unajifunza subira
Ila Ukiwa chadema unakuwa na wasiwasi,hofu muda wote liroho linakuuma.wakulima wa korosho wakifaidika wewe roho inakuwa inauma,tukileta ndege roho inakuuma,unakuwa na wivu wa kingese.unakuwa mshamba..kubwa zaidi unakuwa upo kwenye hatari ya kufa mapema.
Well said walahi
Mahayawani hao machandrama mcharuko mizee ya matukio yasio na mbele wala nyuma
Hakuna Watanzania wanao wa support tena maana wamewaona bavicha magoti ni mafala fulani hivi wasio na dignity!
Li dj lao liko lupango na hakuna mtanzania mzalendo aliye jihangsisha kwenda mahakamani, yaani mpaka wakwe nao wamewachoka walahi uwiii
Mijitu nincompoop kabisa
 
Ni dhahiri sasa kwa yanayotokea ndugu zangu wa Lumumba ukisoma michango yao na hoja zao ni kama wamepagawa!
EU na US wamepigilia msumari uliowafanya waanze "kunena kwa lugha"!
Kuna mdau amesema hii ni zawadi ya x mas na mwaka mpya kwa waliokubwa na dhoruba kwa unyanyasaji wa awamu hii!
Hawawezi kunena kwa Lugha kwakuwa hawana Roho wa Mungu.
Wamepagawa, wamepoteza direction, wanahisi wameonewa, hoja zao dhaifu, yaani wanatapatapa, kila mtu wanamvamia bila kujua yupo upande wake au upinzani, hawasomi mada, wanchofanya ni kujibu kwa mihemko na hasira.
WANANENA KWA ROHO MTAKAFUJO NA SII ROHO WA MUNGU.
Imekula kwenu.....
 
Back
Top Bottom