johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Watangazaji Soudy Brown na Kwisa wamedai wao ndio walimuibua mzee Jumanne Ngoma kutokea kwa wajukuu zake huko Kimara Bonyokwa kupitia kipindi chao cha Shalawadu. Watangazaji hao wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuyafamyia kazi mahojiano hayo na hatimaye mzee Jumanne Ngoma kutambuliwa. Shilawadu wamejinasibu kwa kuwasaidia pia familia ya babu Seya na Wastara na hatimaye kupata msaada uliotukuka kutoka serikalini na kwa mh Rais.
Chanzo: Clouds tv!
Chanzo: Clouds tv!