Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma afika Mahakamani juu ya mashtaka 16 kuhusu mauziano ya silaha

Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma afika Mahakamani juu ya mashtaka 16 kuhusu mauziano ya silaha

Casuist

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
1,189
Reaction score
2,971
Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amefika mahakamani mjini Durban kusikiliza mashtaka 16 yanayohusiana na ununuzi wa silaha.

Mahakama inatarajiwa kuanza saa tatu na nusu asubuhi kwa saa za Afrika kusini, watu wanaomuunga mkono Zuma wamekusanyika nje ya mahakama toka Alhamisi. Fuatilia mubasha kwenye link iliyoambatanishwa.


​

Jacob Zuma appeared briefly in the Durban High Court for fraud, money laundering and racketeering related to the multi-billion-rand arms deal.
The prosecution in former president Jacob Zuma’s case has asked for a postponement. The trial will resume on June 8.

Hundreds of African National Congress (ANC) supporters, including prominent party member Carl Niehaus, are in the High Court in Durban to support Zuma.

Most of them are dressed in ANC colours despite a call from the ANC NEC for them not to wear party regalia.

Zuma is facing 16 counts of fraud, money laundering and racketeering related to the multi-billion-rand arms deal.

Earlier Niehaus said he did not believe Zuma will get a fair trial.
 
Raisi wa South Africa mpaka mwezi Jana, leo katua kizimbani, kwa tuhuma za rushwa, na matumizi mabaya ya madaraka. Huu ndiyo uongozi wa demokrasia
 
Shabir mfanyabiashara aliekua kama dalali wake kabla ya kukutana na Gupta family alihukumiwa kwenda jela na faini nadhani alilipa faini kama Shabir alifungwa Zuma nae kesi yake itaenda vibaya kwake ingawaje anawatumia baadhi ya wafuasi wake Wa kizulu kuandamana kupinga hizo kesi ..
 
tutafanya auditing ya ununuzi wa ndege,,ujenzi wa ukuta,,e-passport n.k hata baada ya miongo kadhaa
We wacha waendelee na uzinduzi ila na wao wajiandaw kuja kuzinduliwa hata kama watakuwa ni wazee wa miaka 80.

Umesahau na tukio la Lissu kupigwa risasi.
 
Kiburi ni muhimu sana unapopambana na mafisadi...hakuna kosa kuwa na kiburi bali kuna kosa ukiwa fisadi.by the way kesi za mafisadi zitafaa zijumuishe watetezi wa mafisadi!!
 
We wacha waendelee na uzinduzi ila na wao wajiandaw kuja kuzinduliwa hata kama watakuwa ni wazee wa miaka 80.

Umesahau na tukio la Lissu kupigwa risasi.
Huyo akae akijua kuwa jela na yeye lazima atakaa
 
Kwa mujibu wa katiba ya Afrika kusini Rais anaweza shitakiwa....
Lakini katiba yetu Rais ashitakiwi wala atuhumiwi na mtu yeyote yule hata akimaliza muda wake anayo kinga..
Heche ametoa mifano ambayo haina uhusiano na nchi anayo ishi.....
Heche atakuwa amechanganyikiwa bila shaka
 
tatizo la watawala wanaamini watakuwa madarakani muda wote. madaraka ni kupokezana leo huyu kesho yule..
 
Kiburi ni muhimu sana unapopambana na mafisadi...hakuna kosa kuwa na kiburi bali kuna kosa ukiwa fisadi.by the way kesi za mafisadi zitafaa zijumuishe watetezi wa mafisadi!!
Waliouza nyumba za serikali na zingine kuwagawia Nyumba ndogo pia kiburi kitawashuka tu.
 
Kiburi ni muhimu sana unapopambana na mafisadi...hakuna kosa kuwa na kiburi bali kuna kosa ukiwa fisadi.by the way kesi za mafisadi zitafaa zijumuishe watetezi wa mafisadi!!
Ni hatari zaidi na wewe mwenyewe unapokuwa ni mtuhumiwa wa ufisadi tena ukituhumiwa na ofisi yenye dhamana kama ya CAG.
 
Kwa mujibu wa katiba ya Afrika kusini Rais anaweza shitakiwa....
Lakini katiba yetu Rais ashitakiwi wala atuhumiwi na mtu yeyote yule hata akimaliza muda wake anayo kinga..
Heche ametoa mifano ambayo haina uhusiano na nchi anayo ishi.....
Heche atakuwa amechanganyikiwa bila shaka
Katiba inaweza kubadilishwa pia,usidhani katiba hii itaendelea miaka yote.
 
Back
Top Bottom