Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,849
- 2,442
Haya mambo ni ya ajabu na aibu kubwa.
Tangu Lissu apigwe risasi sio Bunge wala serikali hawakwenda kumjulia hali.Looo hii aibu sasa serikali yetu inajiabisha sana
Kwa nini hawakuwaambia wanaoguza? Hiyo kitu haiwezekani mbinu yao imekwama yale yale ya kagera na arusha yaelekea bwana mkubwa alimpigia simu jamaa wazipeleke kwenye barabara.
Mkuu piga za uso hawa wafuasi wa diktetaTaahira mkubwa wewe! Uanze kutukana wewe halafu useme mimi! Sikopishi mimi napiga za uso tu na kule kwa MAZWAZWA wenzio mtaa wa Lumumba wananijua fika.
Unadhani kuna jambo lisilo na utaratibu? Na kama pesa nilikuwa haijatumwa kwa nini mbowe hakumuuliza Spika kwanza kabla ya kuongea na vyombo vya Habari?
Kwa aibu hii Lumumba wanachangia nini? Bora tuu wakae kimya kama DangoteNaona wale wa Lumumba leo vidole vina superglue
Tumia brain mkuu.Tulitaka wapewe watu mikononi?
Mbowe ni mungu mtu wenu huko ufipa sisi hatumtofautishi na kibajaji hela imechangwa bunge na bosi wa bunge ni spika nimpaka ajiridhishe hiyo pesa inafanya kazi ya kutibu mgonja isiingie kwa matapeli
Serikali inahusikaje na hilo? Hiyo ni michango ya Bunge na waliotuma ni Bunge. Nini kinaihusu serikali?
Kama ni wakweli waleteni hao wauwaji??KWANI VYOMBO VYETU VYA DORA VIMESHINDWA HADI TUTAFUTE WATU KUTOKA NJE?, NA KAMA HATUAMINI WALIOWAKWETU JE WALE NDIO TUTAWAAMINI, KUDAI WACHUNGUZI KUTOKA NJE NI KUDHALILISHA TAIFA LETU, PONGEZI KWA SELIKALI KWA MSIMAMO.
1) Walikuwa wapi siku zote kutuma hizo hela?
2) Mbowe yuko sahihi, unapotuma muamala nje ya nchi moja kwenda nyingine zile fedha hazisomi/haziingii kwenye akaunti iliyolipwa siku hiyo hiyo. Hivyo taarifa ya Mbowe ambayo ni ya tarehe 20/09/2017 kutoka Nairobi Hospital haikuonyesha kupokea fedha hizo (not captured).
3) Ni aibu kwa jinsi Mhimili wa Bunge unavyojidhalilisha kwenye hili suala la Lissu. Hivi wanadhani ripoti za Nairobi Hospital zinaandaliwa na CHADEMA? Je hawajui wanazidi kuumbuka?
4) Spika na Bunge wanathibitisha mashaka na tuhuma za Mbowe na Watanzania wengi juu ya wahusika wanaotiliwa shaka.
Tatizo usiwe unakariri tu eti kujiridhisha nini hapo wiki mbili umekaa na pesa za mgonjwa kuzituma hapo Nairobi ambapo hata kwa basi zingeshafika?huoni uharaka wa jambo lenyewe na pesa siyo za chama wala serikali ni za wabunge wote.....ifikie pahala tuache saida kwenye maisha ya watuAcha umbulula hizo ni pesa zinatakiwa kujirizisha Kama zinafika kwa mlengwa sio maandazi kuna matapeli siku hizi
Safi, Sio za Kagera hizi au za Luck Vicent.......haziliki!
Hiyo Damu iliyomwagika Dodoma inawatosha............