Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite

Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite

Nitahamia kwenye masaburi yako kwanza kabla sijaenda kenya
Mfa maji siku zote haachi tapatapa nakuambia Mara ya mwisho wanaokutuma kuja kuuamisha umma kuwa jpm Ni dictator you are totally wrong; usirudie tena ujinga huo
 
Mfa maji siku zote haachi tapatapa nakuambia Mara ya mwisho wanaokutuma kuja kuuamisha umma kuwa jpm Ni dictator you are totally wrong; usirudie tena ujinga huo
Mmezoea kuua mnafikiri nyinyi mtaishi milele na dictator wenu walikuwepo wakina Hitler, Idd Amin, Bokassa na Mobutu sasa hivi wako wapi? ni swala la muda tuu
 
Kuna tatizo kubwa sana kuongoza nchi masikini kila mtu mmoja mmoja au kikundi cha watu wanavipaumbele vyao na vyote ni muhimu na kila atakayeongoza atajitahidi kuangalia vipaumbele fulani hata vipaumbele vya taifa haviwezi kumfikia mtu mmoja moja kwa wakati kwa sababu nchi tayari ni masikini na watu wake ni masikini.
 
Kwa hiyo kuna eneo fulani tu ndio lina madini, hivyo ni rahisi kulijua na kulizungushia ukuta? Ukuta huo utakuwa na ukubwa gani na nani hasa anayelengwa asiingie ndani ya uzio huo? Sioni mantiki ya uzio zaidi ya kutumia rasilimali nguvu vibaya.
 
Back
Top Bottom