Suala la Lissu: Serikali tumeisikia, sasa familia ichukue jukumu lake

sasa kabla ya kwenda kumshambulia siku ile uliomba ushauri kwa familia yake?
 
Endapo serikali inataka kumtibu Lissu ni vema na ni wajibu wake, lakini natahadharisha matibabu hayo yafanyike yakiwa chini ya familia na viongozi wa Chadema,, kamwe msiruhusu watimize plan B kwa kisigizio cha kugharamia matibabu yake baada ya viongozi wa chadema kuondoka.
 
Mie siku zote niliamini CCM itachukua muda kutoka madarakani kwa sababu upinzani ilikuwa aujakomaa.

Bado naamini upinzani aujapiga hatua zozote, isipokuwa ndani ya miaka miwili siasa za CCM zimekuwa za ovyo kiasi kwamba wamejishusha kuwa level par na upinzani hakuna tofauti. If that is the case kwanini watu wasieajaribu huo upinzani.

Yaani kabisa mtu yuko hospitali anauguzwa watu wanawaza popularity ya Chama, kiwango hiki cha upuuzi is beyond many kuwaelewa.
 
Salaam wana bodi,

Tangu Mheshimiwa Tundu Lissu adhuriwe huko Dodoma na hatimaye kupelekwa Mjini Nairobi-Kenya, kumekuwepo na mijadala, mivutano na malumbano mengi sana juu ya namna suala hili linavyoshughulikiwa.

Kwa siku za hivi karibuni CHADEMA imekuwa ikiongeza kasi ya kuhamasisha watanzania kuchangia matibabu ya Mheshimiwa Lissu huko Nairobi. Sababu ambazo zimekuwa zikitolewa ni kuwa gharama za matibabu ni kubwa kwani kwa siku ni takribani Milioni 10 za kitanzania. Mchungaji Msigwa wakati akihojiwa na kituo cha televisheni cha Azam alisema kuwa jumla ya Shilingi Milioni 150 zimekwishatumika na bado fedha nyingi zinahitajika.

Kwa hakika matibabu ya Mheshimiwa Lissu yataendelea kutafuna fedha nyingi na kwa kutegemea kupitisha bakuli la michango kila siku kwa watanzania haitawezekana. Sasa kwakuwa Serikali kupitia Waziri wa Afya Ummy Mwalimu imetoa tamko lake kuwa inayo nia ya dhati kabisa kugharamia matibabu ya Mheshimiwa Lissu, basi ni vema Serikali ikaachwa igharamie matibabu hayo na familia yake ichukue jukumu la kuwa msemaji na "role" ya wanasiasa wenzake wa CHADEMA walioko huko Nairobi ipungue kwa wao kuacha kutoa matamko ambayo bado hayamsaidii mgonjwa zaidi ya kumuweka katika "position" ya kutokuwa na uhakika wa matibabu yake kutokana na makusanyo ya fedha za matibabu kuwa "unpredictable".

Ni wakati sasa familia ndio iwe msemaji wa matibabu ya Lissu na familia ndio iwe na maamuzi na sio hawa wanasiasa ambao kwao ni kuona suala la Lissu linatumiwa kukipa umaarufu chama chao.
Ukiwalaumu wanasiasa hao katika swala hili unajitia upofu tu, wa kutokuona mchango wao wa kumuuguza ndugu yao!!

Serikali na hasa bunge hawakusyahili kukwepa jukumu hili toka mwanzo, ukizingatia huyu mtu ameumizwa akiwa bungeni!!
 
Salaam wana bodi,

Tangu Mheshimiwa Tundu Lissu adhuriwe huko Dodoma na hatimaye kupelekwa Mjini Nairobi-Kenya, kumekuwepo na mijadala, mivutano na malumbano mengi sana juu ya namna suala hili linavyoshughulikiwa.

Kwa siku za hivi karibuni CHADEMA imekuwa ikiongeza kasi ya kuhamasisha watanzania kuchangia matibabu ya Mheshimiwa Lissu huko Nairobi. Sababu ambazo zimekuwa zikitolewa ni kuwa gharama za matibabu ni kubwa kwani kwa siku ni takribani Milioni 10 za kitanzania. Mchungaji Msigwa wakati akihojiwa na kituo cha televisheni cha Azam alisema kuwa jumla ya Shilingi Milioni 150 zimekwishatumika na bado fedha nyingi zinahitajika.

Kwa hakika matibabu ya Mheshimiwa Lissu yataendelea kutafuna fedha nyingi na kwa kutegemea kupitisha bakuli la michango kila siku kwa watanzania haitawezekana. Sasa kwakuwa Serikali kupitia Waziri wa Afya Ummy Mwalimu imetoa tamko lake kuwa inayo nia ya dhati kabisa kugharamia matibabu ya Mheshimiwa Lissu, basi ni vema Serikali ikaachwa igharamie matibabu hayo na familia yake ichukue jukumu la kuwa msemaji na "role" ya wanasiasa wenzake wa CHADEMA walioko huko Nairobi ipungue kwa wao kuacha kutoa matamko ambayo bado hayamsaidii mgonjwa zaidi ya kumuweka katika "position" ya kutokuwa na uhakika wa matibabu yake kutokana na makusanyo ya fedha za matibabu kuwa "unpredictable".

Ni wakati sasa familia ndio iwe msemaji wa matibabu ya Lissu na familia ndio iwe na maamuzi na sio hawa wanasiasa ambao kwao ni kuona suala la Lissu linatumiwa kukipa umaarufu chama chao.
Mkuu Twahil, naunga mkono hoja. Chadema played it's party, lakini maadam serikali imekubali kuingiza mkono wake, then, sasa familia iachiwe. Wao Chadema waendelee na kumhudumia kiulinzi na kiusalama lakini taarifa za maendeleo yake zitolewe na mtu wa familia yake.
Paskali
 
LISSU ni mwanasiasa na yaliyompata yamempata kutokana na msimamo wake kisiasa. haiwezekani wakaachiwa ndugu tu kumtibu. bali wanasiasa wenzake lazima wawepo pia hivo naunga mkono mbowe na kina msigwa kuendelea kubaki nairobi pamoja na mkewe. hili suala la serikali kushiriki ukakasi ni mwingi. hivi mbunge ameumia katika eneo la bunge kutibiwa kwa gharama za serukali mpaka maombi ya familia kwa serikali? hii ni aibu kwa serikali.
 
Salaam wana bodi,

Tangu Mheshimiwa Tundu Lissu adhuriwe huko Dodoma na hatimaye kupelekwa Mjini Nairobi-Kenya, kumekuwepo na mijadala, mivutano na malumbano mengi sana juu ya namna suala hili linavyoshughulikiwa.

Kwa siku za hivi karibuni CHADEMA imekuwa ikiongeza kasi ya kuhamasisha watanzania kuchangia matibabu ya Mheshimiwa Lissu huko Nairobi. Sababu ambazo zimekuwa zikitolewa ni kuwa gharama za matibabu ni kubwa kwani kwa siku ni takribani Milioni 10 za kitanzania. Mchungaji Msigwa wakati akihojiwa na kituo cha televisheni cha Azam alisema kuwa jumla ya Shilingi Milioni 150 zimekwishatumika na bado fedha nyingi zinahitajika.

Kwa hakika matibabu ya Mheshimiwa Lissu yataendelea kutafuna fedha nyingi na kwa kutegemea kupitisha bakuli la michango kila siku kwa watanzania haitawezekana. Sasa kwakuwa Serikali kupitia Waziri wa Afya Ummy Mwalimu imetoa tamko lake kuwa inayo nia ya dhati kabisa kugharamia matibabu ya Mheshimiwa Lissu, basi ni vema Serikali ikaachwa igharamie matibabu hayo na familia yake ichukue jukumu la kuwa msemaji na "role" ya wanasiasa wenzake wa CHADEMA walioko huko Nairobi ipungue kwa wao kuacha kutoa matamko ambayo bado hayamsaidii mgonjwa zaidi ya kumuweka katika "position" ya kutokuwa na uhakika wa matibabu yake kutokana na makusanyo ya fedha za matibabu kuwa "unpredictable".

Ni wakati sasa familia ndio iwe msemaji wa matibabu ya Lissu na familia ndio iwe na maamuzi na sio hawa wanasiasa ambao kwao ni kuona suala la Lissu linatumiwa kukipa umaarufu chama chao.
Nyie jukumu lenu ni kuwakamata wale waliomdhuru kazi ya kulipia matibabu tuachieni acheni usanii au mlimdhuru ili mje mlipie ubani au matibabu Mungu yupo upande wetu mtanyooka tuu
 
Mkuu Twahil, naunga mkono hoja. Chadema played it's party, lakini maadam serikali imekubali kuingiza mkono wake, then, sasa familia iachiwe. Wao Chadema waendelee na kumhudumia kiulinzi na kiusalama lakini taarifa za maendeleo yake zitolewe na familia
kwa mtazamo mpana hata chadems ni sehemu ya familia ya lissu. muda wote lissu amekuwa akiisaidia chadema na watanzanis wengine. sioni ubaya wa chadema kutoa taarifa ya maendeleo ya mwanachama na kiongozi wake lissu. huu ni uungwana.
 
Kuna suala la usalama pia.
Lissu haumwi ugonjwa wa kawaida.Lilikuwa ni jaribio la kuondoa maisha yake kwa sababu za kisiasa.
Wanasiasa wenzake bado wana mchango mkubwa sana.
 
Salaam wana bodi,

Tangu Mheshimiwa Tundu Lissu adhuriwe huko Dodoma na hatimaye kupelekwa Mjini Nairobi-Kenya, kumekuwepo na mijadala, mivutano na malumbano mengi sana juu ya namna suala hili linavyoshughulikiwa.

Kwa siku za hivi karibuni CHADEMA imekuwa ikiongeza kasi ya kuhamasisha watanzania kuchangia matibabu ya Mheshimiwa Lissu huko Nairobi. Sababu ambazo zimekuwa zikitolewa ni kuwa gharama za matibabu ni kubwa kwani kwa siku ni takribani Milioni 10 za kitanzania. Mchungaji Msigwa wakati akihojiwa na kituo cha televisheni cha Azam alisema kuwa jumla ya Shilingi Milioni 150 zimekwishatumika na bado fedha nyingi zinahitajika.

Kwa hakika matibabu ya Mheshimiwa Lissu yataendelea kutafuna fedha nyingi na kwa kutegemea kupitisha bakuli la michango kila siku kwa watanzania haitawezekana. Sasa kwakuwa Serikali kupitia Waziri wa Afya Ummy Mwalimu imetoa tamko lake kuwa inayo nia ya dhati kabisa kugharamia matibabu ya Mheshimiwa Lissu, basi ni vema Serikali ikaachwa igharamie matibabu hayo na familia yake ichukue jukumu la kuwa msemaji na "role" ya wanasiasa wenzake wa CHADEMA walioko huko Nairobi ipungue kwa wao kuacha kutoa matamko ambayo bado hayamsaidii mgonjwa zaidi ya kumuweka katika "position" ya kutokuwa na uhakika wa matibabu yake kutokana na makusanyo ya fedha za matibabu kuwa "unpredictable".

Ni wakati sasa familia ndio iwe msemaji wa matibabu ya Lissu na familia ndio iwe na maamuzi na sio hawa wanasiasa ambao kwao ni kuona suala la Lissu linatumiwa kukipa umaarufu chama chao.
Watu wasiojulikana
 
Sasa kama haijahusika, mbona haijasema nani mmiliki wa Gari alilolitaja Lissu, kama haijahusika mbona hakuna updates zozote za kiitelijensia zaidi ya kukamata wakimbizi uchwara eti kwa taarifa za kiitelijensia pamoja na kumkamata Zitto Airport kwa mbwembwe. Acheni unafiki, muwe na aibu.
Ungejiuliza kwanini cdm hawataki dereva wa lisu ahojiwe na polisi.
 
Kuna suala la usalama pia.
Lissu haumwi ugonjwa wa kawaida.Lilikuwa ni jaribio la kuondoa maisha yake kwa sababu za kisiasa.
Wanasiasa wenzake bado wana mchango mkubwa sana.
Kwanini zisiwe ni sababu za kisheria kwani pia ni mwanasheria?
 
Huo uwezekano upo pia maana Lissu alikuwa anatumia sababu za kisheria kuikosoa Serikali mfano katika hilo suala la kukamatwa bombadier yetu.
 
Kwani ujuzi wake wa kisheria alikuwa akiutumia kuikosoa tuu serekali?
 
Serikali imegundua hawa jamaa hawapo kwa ajili ya lisu..wapo kwa ajili ya chama..wanaitumia hii fursa..bahati mbaya familia ya lisu imetulia tu..ila mwisho wa siku wao ndio watakaolia..
Na ndio maana serikali inataka tamko la familia ili kumuondoa lisu kwenye mikono ya wanasiasa.. Na katika hili tayari wanasiasa wameibuka na matamko yao..
Kiukweli lisu kama atapona matibabu yake yatachukua hata miezi sita ku recover..chadema pesa wanayo..ila hawakuandaa kutumia pesa yao kwenye masuala kama haya..angekufa kwao ingekuwa rahisi sana..isingefika hata mil 10..ila hili la kumuuguza lisu na kutumia mamilion kwa siku limekuwa pigo kubwa sana kwao..kumbuka hakuna posho za safari za nje kama zamani..hakuna posho za ushiriki wa vikao kwenye mashirika ya uma..mianya ya ukwepaji kodi imebanwa..kila mtu anaitolea macho pesa ya ruzuku..ni shida

Hivi ulipata dv 3 or 4?
Huna akili ya kuhoji, huna akili ya kuconnect
Huna akili ya kufikiri na kungamua
Danda head is danda head, tuna sheria na taratibu zenye sura za utu, hekima na busara. Haya yote huyajui,umeshikiliwa akili, unawaza kwa kutumia mikono nã miguu na si akili kidogo sana ulizo nazo za kuvukia barabara
 
Je ukiombwa kuisaidia polisi kutoa USHAHIDI namna Serikali ilivyohusika na kushambuliwa kwa mh. lissu utasemaje?
Ndo mnavyotishiana kila kukicha, hivi jinsi serikali ilivyokula ganzi katika suala hili wakati ushahidi upo wazi, gari lililotumika, namba zake, watu waliokuwa wanamfatilia TL aliwataja tena kwenye Press na clips zipo YouTube, hakuna hatua ilochukuliwa hata kutuambia mmiliki wa gari.
Serikali ya misifa hii tukio kama hili lingechukua kick kama hamorapa lakini kimyaaaa, mamaee.
 
Tangu lini Serikali iliyokuwa ikimkamata hovyo hovyo ikamtakia mema, acheni unafiki wa kidananda.

Sizonje Kalimwa barua ya Onyo Kali toka Uingereza, ndio mnajitekenya tekenya.
Wananchi tutachanga, tutakopa na ikibidi kuuza mali zetu Lissu apone.

Kama mnania kweli, Serikali ichange kama tunavyochanga sisi. After all hata hizo pesa za Serikali ni zetu sisi walipakodi.

Sisi tumeamua kumchangia Lissu, nyinyi kajengeni Ukuta Mererani kwa kodi zetu.

alikuwa anakamatwa bila makosa? na serikali ni nani hasa? hivi unajua huwa haiumii....?? haina aibu, haina feelings kwa sababu serikali ni wewe pia
 
Back
Top Bottom