Je Mh.Mwigulu aruhusu maombi ya TL, pamoja na tshirts?

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
37,593
Reaction score
70,717
..kichwa cha habari hapo juu kinahusika.

..Serikali kupitia kwa Mh.Ummy Mwalimu, waziri wa afya, imetangaza kuwa italipia gharama za matibabu ya TL.

..Je, kwanini sasa Mh.Mwigulu, waziri wa mambo ya ndani,.asiruhusu wananchi kuiunga mkono serikali kupitia sala za madhehebu mbalimbali kumuombea mpendwa wetu TL apone haraka?

..Na kwa muktadha huo, je si itakuwa vema zaidi kama Serikali, na Jeshi la Polisi, wakaruhusiwa kuvaa t-shirt, kanga, kofia, za " Pray for TL" ili wananchi waonyeshe kuiunga mkono serikali?
 
haa haa kukamata wanaomuombea hahitajiki kibali. ila kumtibu lazima maombi ya familia. mweh.
 
Tatizo la cdm ni kujiona wao ni bora na wanathamani kuliko wananchi wengine. Vipaumbele vyao wanataka vionekane ni vipaumbele vya taifa.

Mmegeuka vituko kwa madai ya kipuuzi. Kila jambo mnalalamika. Kila upuuzi mnauunga mkono. Kila ufisadi ninyi mnaushabikia na kila mhujumu wa taifa hili ninyi mnamtetea. Huku mkijiona wazalendo.
Aibu idumu juu yenu
 
..kichwa cha habari hapo juu kinahusika.

..Serikali kupitia kwa Mh.Ummy Mwalimu, waziri wa afya, imetangaza kuwa italipia gharama za matibabu ya TL.

..Je, kwanini sasa Mh.Mwigulu, waziri wa mambo ya ndani,.asiruhusu wananchi kuiunga mkono serikali kupitia sala za madhehebu mbalimbali kumuombea mpendwa wetu TL apone haraka?

..Na kwa muktadha huo, je si itakuwa vema zaidi kama Serikali, na Jeshi la Polisi, wakaruhusiwa kuvaa t-shirt, kanga, kofia, za " Pray for TL" ili wananchi waonyeshe kuiunga mkono serikali?
Mwigulu? Who is Mwigulu? Hata Jeshi lenyewe la Polisi halimtambui Mwigulu. Ni lini umemuona Mwigulu akiongelea lolote kuhusu utendaji wa Polisi. Ni lini umemsikia Mwigulu akizungumzia mahitaji ya Jeshi hilo? Ni lini umemuona Mwigulu akikagua gwaride la Jeshi hilo?

Ni lini umemuona Mwigulu akihimiza uwajibikaji wa Jeshi hilo? Ni lini Mwigulu amemtaka afisa yeyote kuzingatia maadili ya Jeshi hilo? Mwigulu, Mwigulu, Mwigulu...je ni moja katika wajanja anaowasema Zitto Kabwe? Wajanja wanaolamba miguu ya washamba ili waishi tu.
 
Tatizo la cdm ni kujiona wao ni bora na wanathamani kuliko wananchi wengine. Vipaumbele vyao wanataka vionekane ni vipaumbele vya taifa.

Mmegeuka vituko kwa madai ya kipuuzi. Kila jambo mnalalamika. Kila upuuzi mnauunga mkono. Kila ufisadi ninyi mnaushabikia na kila mhujumu wa taifa hili ninyi mnamtetea. Huku mkijiona wazalendo.
Aibu idumu juu yenu

..mbona umetoka nje ya mada.

..hapa tunajadili uwezekano wa serikali kuruhusu wananchi wamuombee mpendwa wao TL apate nafuu ya haraka.

..maombi haya yanaweza kuisaidia serikali isiingie gharama kubwa kwa ajili ya matibabu ya TL.
 
Kumuombea Lissu ni hadi mvae jezi?
Jaribuni kutafakari. Wajanja wanapiga hela kupitia kwa manyumbu uchwara
 
Tatizo la cdm ni kujiona wao ni bora na wanathamani kuliko wananchi wengine. Vipaumbele vyao wanataka vionekane ni vipaumbele vya taifa.

Mmegeuka vituko kwa madai ya kipuuzi. Kila jambo mnalalamika. Kila upuuzi mnauunga mkono. Kila ufisadi ninyi mnaushabikia na kila mhujumu wa taifa hili ninyi mnamtetea. Huku mkijiona wazalendo.
Aibu idumu juu yenu
Aibu hii idumu zaidi kwenu nyie mliosaini mikataba ya kuuza maliasili zetu leo mnajidai at mnauchungu na nchi hii.
Nauliza nyumba za serikali zilizouzwa sio sehemu ya uhujumu uchumi? Au na hili hujui?
 
..kichwa cha habari hapo juu kinahusika.

..Serikali kupitia kwa Mh.Ummy Mwalimu, waziri wa afya, imetangaza kuwa italipia gharama za matibabu ya TL.

..Je, kwanini sasa Mh.Mwigulu, waziri wa mambo ya ndani,.asiruhusu wananchi kuiunga mkono serikali kupitia sala za madhehebu mbalimbali kumuombea mpendwa wetu TL apone haraka?

..Na kwa muktadha huo, je si itakuwa vema zaidi kama Serikali, na Jeshi la Polisi, wakaruhusiwa kuvaa t-shirt, kanga, kofia, za " Pray for TL" ili wananchi waonyeshe kuiunga mkono serikali?
Unataka umponze Mwigulu?
 
..ndiyo.

..mbona wapo wanaovaa rozari?

..au wengine wanavaa kanzu na kofia?

..sisi tukivaa tshirt kwanini muone ni shida?
Hivi kuvaa rozari ni maombi?
Kuvaa kanzu ni maombi?
Kabla ya kukurupuka jifunze kwanza
 
..kichwa cha habari hapo juu kinahusika.

..Serikali kupitia kwa Mh.Ummy Mwalimu, waziri wa afya, imetangaza kuwa italipia gharama za matibabu ya TL.

..Je, kwanini sasa Mh.Mwigulu, waziri wa mambo ya ndani,.asiruhusu wananchi kuiunga mkono serikali kupitia sala za madhehebu mbalimbali kumuombea mpendwa wetu TL apone haraka?

..Na kwa muktadha huo, je si itakuwa vema zaidi kama Serikali, na Jeshi la Polisi, wakaruhusiwa kuvaa t-shirt, kanga, kofia, za " Pray for TL" ili wananchi waonyeshe kuiunga mkono serikali?

Ni lini mara ya mwisho ulimwambia Babako ,, Baba nakupenda"?
 
Hivi kuvaa rozari ni maombi?
Kuvaa kanzu ni maombi?
Kabla ya kukurupuka jifunze kwanza

..Ndiyo ni maombi.

..Hivi kweli mnataka kutupangia nini cha kuvaa tunapofanya maombi kwa ajili ya uponyaji wa mpendwa wetu TL?
 
Back
Top Bottom