wanaojulikana
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 576
- 902
Sina mengi lakini nasema hivi matibabu ya lisu anayejua ni Mungu tu kupitia wachangiaji na wasamalia wema.
Kama serikali tunaomba mhangaike na wasiojulikana nadhani mtakuwa mmefanya jambo la maana zaidi.
Kama serikali tunaomba mhangaike na wasiojulikana nadhani mtakuwa mmefanya jambo la maana zaidi.