Siku ya 12 leo watu "wasiojulikana" waliotaka kupora maisha ya Tundu Lissu bado kupatikana!!!

Mystery

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
15,842
Reaction score
31,075
Kama nilivyoeleza kwenye heading yangu, leo ni siku ya 12 watu waliotaka kupora maisha ya Tundu Lissu hawajafanikiwa kukamatwa....

Hakika huu ni muujiza mkubwa ambao tunatakiwa watanzania wote tuurejeshe utukufu kwa Mungu aliyetuumba ambaye ndiye anayetupangia pia siku zetu za kuishi hapa duniani.

Nirudi kwenye mada yangu ya kuwa leo ni siku ya 12 hakuna dalili yoyote ya kumkamata yule "jambazi" aliyemminia risasi zaidi ya 32 Tundu Lissu mchana kweupe tena ndani ya makazi ya "wakubwa" ambapo pia kuna walinzi getini!

Kama mimi ningekuwa IGP Sirro au kama mimi ningekuwa RPC was Mkoa wa Dodoma au kama mimi ningelikuwa Waziri wa mambo ya ndani Mwigilu Nchemba, ningekuwa nimeshatuma barua yangu ya kujiuzulu......

Kwa kuwa nisingekubali aibu hii iendelee kuniangukia mimi kwa uzembe uliokithiri wa kutowakamata waliohusika na mkasa huo!

Kama ningelikuwa mimi ningepeleka "faster" barua hiyo ya kujiuzulu kwa kuwa najua wajibu Na. 1 wa kazi yangu ni kulinda RAIA na MALI zao.

Yule dereva wa Lissu amewarahisishia ile kazi yenu ya kumtafuta "mbaya" wa Lissu kwa kuwatajia namba ya gari iliyokuwa "ikiwatail" kutoka Dar ambayo ni gari no. T932AKN

Sasa ni kitu gani ambacho nyinyi Polisi wetu mnataka Raia wawafanyie???

Kama mimi ningelikuwa Polisi ningeenda TCRA na kutaka taarifa za mawasiliano za huyo mtu/watu waliokuwa wakiemdesha gari hiyo mamba T932AKN, mchezo ungekuwa umekwisha!

Kutokufanya hivyo maana yake ni kuwa waliofanya ukatili huo mkubwa ni "wao" wenyewe na hivyo kusababisha IGP Sirro, RPC wa Dodoma na Waziri Mwigulu Nchemba wachukue dhamana ya kujiuzulu Mara moja bila kuchelewa.

Imenenwa na wahenga MWISHO WA UBAYA AIBU!

Mungu ibariki Tanzania
 
Ni kweli mkuu, kwa hali ya kawaida wangeanza na gari. Mmiliki wake ndo angetoa majibu sahihi.
That's correct.

Hiyo ni kazi rahisi sana, hata mimi "layman" ningeweza kuifanya kazi hiyo ya kuchunguza mwenendo wa simu zilizokuwa zikipigwa na huyo mwenye gari no T932AKN kati ya tarehe 7/9/17 hadi tarehe 8/9/2017 mchezo ungekuwa umemalizika!
 
Mkuu tcra una uhakika kama wanaweza kufanya hili mie na mashaka na wafanyakazi wa tcra labda ni kina zero brain
 
Wakatae kufanya kutokana na maagizo toka juu!

Lakini katika mazingira ya kawaida ni jambo jepesi sana kulifanya hill.....

Na kama TCRA wakikataa kulifanya hilo tukiumgnisha dots hapo tunapata jawabu kuwa waliofanya jambo hilo ni "wao"
 
We are being ruled by a "gang of bandits" and not by elected leaders!

Nadhani utakuwa umenielewa hapo, ni kuwa viongozi wa kuchaguliwa na watu wanawasikiliza wapiga kura wao wanasemaje kuhusu uendeshaji wa nchi..........

Na "gang of bandits" wao wanadhani kuwa nchi ni mali yao na watu ni mali yao, kwa hiyo hawana haja ya kuwasikiliza!
 
Kama nilivyoeleza kwenye heading yangu, leo ni siku ya 12 watu waliotaka kupora maisha ya Tundu Lissu hawajafanikiwa kukamatwa....

Hakika huu ni muujiza mkubwa ambao tunatakiwa watanzania wote tuurejeshe utukufu kwa Mungu aliyetuumba ambaye ndiye anayetupangia pia siku zetu za kuishi hapa duniani.

Nirudi kwenye mada yangu ya kuwa leo ni siku ya 12 hakuna dalili yoyote ya kumkamata yule "jambazi" aliyemminia risasi zaidi ya 32 Tundu Lissu mchana kweupe tena ndani ya makazi ya "wakubwa" ambapo pia kuna walinzi getini!

Kama mimi ningekuwa IGP Sirro au kama mimi ningekuwa RPC was Mkoa wa Dodoma au kama mimi ningelikuwa Waziri wa mambo ya ndani Mwigilu Nchemba, ningekuwa nimeshatuma barua yangu ya kujiuzulu......

Kwa kuwa nisingekubali aibu hii iendelee kuniangukia mimi kwa uzembe uliokithiri wa kutowakamata waliohusika na mkasa huo!

Kama ningelikuwa mimi ningepeleka "faster" barua hiyo ya kujiuzulu kwa kuwa najua wajibu Na. 1 wa kazi yangu ni kulinda RAIA na MALI zao.

Yule dereva wa Lissu amewarahisishia ile kazi yenu ya kumtafuta "mbaya" wa Lissu kwa kuwatajia namba ya gari iliyokuwa "ikiwatail" kutoka Dar ambayo ni gari no. T932AKN

Sasa ni kitu gani ambacho nyinyi Polisi wetu mnataka Raia wawafanyie???

Kama mimi ningelikuwa Polisi ningeenda TCRA na kutaka taarifa za mawasiliano za huyo mtu/watu waliokuwa wakiemdesha gari hiyo mamba T932AKN, mchezo ungekuwa umekwisha!

Kutokufanya hivyo maana yake ni kuwa waliofanya ukatili huo mkubwa ni "wao" wenyewe na hivyo kusababisha IGP Sirro, RPC wa Dodoma na Waziri Mwigulu Nchemba wachukue dhamana ya kujiuzulu Mara moja bila kuchelewa.

Imenenwa na wahenga MWISHO WA UBAYA AIBU!

Mungu ibariki Tanzania
Wakipatikana waliomteka Roma.....
 
Juu mpango ulipangwa na watu wenye akili zao na si mpango wa kukurupuka kwa hiyo hata hizi naomba za Gari ukizifuatilia unakuta ni za pikipiki au trekta au hili Gari ni screpa halipo si mpango wa kitoto jiulize background ya Lisu kwenye Kazi ya uwakili ameshatengeneza maadui wa kumbebea silaha ya kivita au mwenye majukwaa ya kisiasa ni upande UPI SMG inaweza kupatikana kwa wepesi juu si mpango wa kitoto mimi naomba tusugue magoti tumwambie Mungu yeye ndo mwenye kutoa haki kati ya Lisu na hao walio beba SMG kwa ajili ya kutaka kumuangamiza atoe haki atende muujiza wajulikane damu ya Lisu iwatese ikibidi waanze kuropoka hakuna kinachomshinda Mungu wetu usitegemee watu wajiuzulu utasubiri sana.
 
Mkuu Mystery hao hawatamatwa na wala si watu wasiojulikana Mkuu. Wanaishi Ikulu na ndiyo hao hao wamezuia watu kuvaa fulana za pray for Lissu pia kuzuia sala za kumuombea Lissu lakini wao huimba kila mara mniombee! Pia wamepiga marufuku wana Chadema kuchangia damu.

Namba ya gari ambayo ilikuwa inamfuatilia Lissu na dreva wake wameiweka wazi lakini hadi hii leo polisi wameshindwa kutwambia mmiliki wake.

Walinzi wa geti hadi hii leo hatujaambiwa walikuwa ni akina nani na kama wamehojiwa au la!

Kwa hiyo Mkuu habari ndiyo hiyo aliyetaka kutoa uhai wa Lissu ndiyo huyo huyo kachukua uhai wa Ben Saanane na almanusra wachukue uhai wa Roma.

Kama nilivyoeleza kwenye heading yangu, leo ni siku ya 12 watu waliotaka kupora maisha ya Tundu Lissu hawajafanikiwa kukamatwa....

Hakika huu ni muujiza mkubwa ambao tunatakiwa watanzania wote tuurejeshe utukufu kwa Mungu aliyetuumba ambaye ndiye anayetupangia pia siku zetu za kuishi hapa duniani.

Nirudi kwenye mada yangu ya kuwa leo ni siku ya 12 hakuna dalili yoyote ya kumkamata yule "jambazi" aliyemminia risasi zaidi ya 32 Tundu Lissu mchana kweupe tena ndani ya makazi ya "wakubwa" ambapo pia kuna walinzi getini!

Kama mimi ningekuwa IGP Sirro au kama mimi ningekuwa RPC was Mkoa wa Dodoma au kama mimi ningelikuwa Waziri wa mambo ya ndani Mwigilu Nchemba, ningekuwa nimeshatuma barua yangu ya kujiuzulu......

Kwa kuwa nisingekubali aibu hii iendelee kuniangukia mimi kwa uzembe uliokithiri wa kutowakamata waliohusika na mkasa huo!

Kama ningelikuwa mimi ningepeleka "faster" barua hiyo ya kujiuzulu kwa kuwa najua wajibu Na. 1 wa kazi yangu ni kulinda RAIA na MALI zao.

Yule dereva wa Lissu amewarahisishia ile kazi yenu ya kumtafuta "mbaya" wa Lissu kwa kuwatajia namba ya gari iliyokuwa "ikiwatail" kutoka Dar ambayo ni gari no. T932AKN

Sasa ni kitu gani ambacho nyinyi Polisi wetu mnataka Raia wawafanyie???

Kama mimi ningelikuwa Polisi ningeenda TCRA na kutaka taarifa za mawasiliano za huyo mtu/watu waliokuwa wakiemdesha gari hiyo mamba T932AKN, mchezo ungekuwa umekwisha!

Kutokufanya hivyo maana yake ni kuwa waliofanya ukatili huo mkubwa ni "wao" wenyewe na hivyo kusababisha IGP Sirro, RPC wa Dodoma na Waziri Mwigulu Nchemba wachukue dhamana ya kujiuzulu Mara moja bila kuchelewa.

Imenenwa na wahenga MWISHO WA UBAYA AIBU!

Mungu ibariki Tanzania
 
Juu mpango ulipangwa na watu wenye akili zao na si mpango wa kukurupuka kwa hiyo hata hizi naomba za Gari ukizifuatilia unakuta ni za pikipiki au trekta au hili Gari ni screpa halipo si mpango wa kitoto jiulize background ya Lisu kwenye Kazi ya uwakili ameshatengeneza maadui wa kumbebea silaha ya kivita au mwenye majukwaa ya kisiasa ni upande UPI SMG inaweza kupatikana kwa wepesi juu si mpango wa kitoto mimi naomba tusugue magoti tumwambie Mungu yeye ndo mwenye kutoa haki kati ya Lisu na hao walio beba SMG kwa ajili ya kutaka kumuangamiza atoe haki atende muujiza wajulikane damu ya Lisu iwatese ikibidi waanze kuropoka hakuna kinachomshinda Mungu wetu usitegemee watu wajiuzulu utasubiri sana.

Katika maisha ya Lissu ametengeneza maadui wawili Acacia ambao kuna mkono wa wastaafu Fulani na Serikali ya CCM period.

Haiingi akili ni RPC unaenda kwenye tukio masaa mawili na ushee baada ya tukio halafu unasema nilikuwa kwenye tukio.

Unafunga Barabara juu masaa mawili baada ya tukio ati gari zisitoke Dodoma aliyekwambia Gari itaendelea kubaki Dodoma muda wote huo ni nani??

Michango wa wabunge mpaka jumapili Ilikuwa haujafikishwa kwa wahusika pamoja na kudai wanahitaji invoice ya hospitali.

Je wa nasubiria kuzitoa kama rambirambi?? Ukijiulizs maswali haya tu utajua muhusika ni Serikali ya CCM maana hiyo ndiyo Sera na Ilani yao kwa miaka yote 55.
 
Back
Top Bottom