Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai ataka wanaosambaza video ya mchele washughulikiwe

Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai ataka wanaosambaza video ya mchele washughulikiwe

Hii inaonekana ni kutishia raia ili hata kama kweli umeona ushindwe kutoa ushahidi kuogopa kupotezwa kweli bado Tanzania ina Safari ndefu kupata uongozi kamili usio ogopa changamoto

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Ulishawahi kudundisha ugali wa mhogo? Au mihogo nayo ni plastic?

Ukiwa na ufahamu mdogo wa kemia... hili jambo litakusumbua sana.
Acha uongo hautadunda ila hausambaratiki Mkuu
 
Ulishawahi kudundisha ugali wa mhogo? Au mihogo nayo ni plastic?

Ukiwa na ufahamu mdogo wa kemia... hili jambo litakusumbua sana.
Mkuu usitake kudanganya uma ugali wa muhogo haudundi hata kidogo. Ule ugali unanata sana gundi na wala hauwezi kuulinganisha na huo mchele wa plastic.
 
Au anausambaza yeye ndio mana anatutishia. Nasema tutawndelea kusambaza paka aache mutulisha mchele wa plastic. Na mimi namuomba IGP amshughulikie huyu kamanda kwa kutaka kukwepa ukweli.

Sent from my BBA100-2 using JamiiForums mobile app
Wamuamishie kibiti ,ili akapambane na watu wasiojulikana.

Sent from my Lenovo P1a42 using JamiiForums mobile app
 
labda serikali inaona aibu au kudharirishwa kwa hili la mchele wa plastic.... inasemekana huo mchele ulifika bandarini lkn ulizuiliwa kuingia nchini.....

sasa huo mchele unaonyesha umeshafika kwa walaji.... huku TBS,TFDa, wizara husika wapo kimya tu ... kama kawaida ya ccm kutumia polisi kutisha raia badala ya kuchunguza ukweli ni upi.......
 
Amefanya uchunguzi gani hadi kufikia hayo maamuzi!?

Navyojua hata nchi zilizoendelea watu wakirusha video clips wapelelezinndio itaka kukutana nao kujua kilichojiri... sasa huyu hata aliyetekodi hajasikia kutoka kwake na ni wapi anadai alinunua huo mchele anakimbilia kuongea hayo yote.

Kwa upande fulani maneno hayo bila yeye kutupa ukweli wa kutuambia kwanini anasema hakuna mchele wa plastic basi kazi ipo.

Afanye hayo kwanza kutueleza zaidi, sio wananchi wote tupo kusikiliza tu mtu kasema tunashangilia **** tunayotaka kusikia pia.

Hivi wafanyakazi wengi wa serikali kwa nini hawajui kuangalia nje ya box na kutuletea habari kamili...huwezi tu kusema hakuna huku huna hata cha kutueleza kwanini unasema hakuna.

Halafu unatisha wananchi, sasa yakitokea makubwa hamuyajui mnafikiri kuna atakayekuja kujitokeza kuyaongea au kuyaonyesha?

Hapo hao Polisi, Wizara, TFDA wote wajiongeze... eti fulani kasema hakuna... hata kama ni hivyo imekuwaje hamjawa na subira kuongea na hao watuhumiwa na kama kweli ndio mtuambie.

Raisi wetu anapiga kazi, tabu wengine kuongea tu basi. Rais wetu unahitaji vichwa vipya kukusaidia kuongoza nchi wavivu na wasio na maarifa wamejaa tele serikalini kwako.
Maneno hayo yangesemwa na JPM,ungekuja kushangalia!
Hawa wa chini wanamuiga boss wao,vitisho kwwnda mbele!Juzi Kairuki,leo huyu kesho yule!Ndio mwendelezo wa kuangalia boss anafanya nini nao wafanye nini!
 
huyo mkurugenzi akaguliwe vyeti vyake kwa kina,elimu yake ya upelelezi ina utata mkubwa!!
 
Hawa wanastahili lile tusi la Mkapa wasitake kukanusha vitu ambavyo sisi tunakutana navyo mtaani

Unakutana na nini?

Sisi wakati wadogo tulikuwa tunaiba mchele wa mpunga mpya, tunauchemsha sana halafu tunashindana nani ataufanya tonge linalodunda sana kama mpira.

Hiyo ya mchele wa plastiki ni upuuzi na ujinga tu.

Nyie mnaojidai kuna mchele wa plastiki, mkiula mnakunya mipira?

Punguani wahed.
 
Wamuamishie kibiti ,ili akapambane na watu wasiojulikana.

Sent from my Lenovo P1a42 using JamiiForums mobile app
Nasikitika jinsi wanavyokanusha kitu ambacho kimedhuru hata familia yangu. Nimeumia sana nilivyoona hii taarifa. Siamini mmeamua kukataa ukweli. Ila nasema toka moyoni, Mungu anawaona aisee. Atawajibu sawa na kiburi chenu.

Sent from my SGH-I337M using JamiiForums mobile app
 
==========================================

Boaz amekanusha uwepo wa mchele huo wa plastiki na kumsaka kwa udi na uvumba mtu aliyerekodi video hiyo ili asaidie kutoa taarifa zaidi.
Kumsaka kwa udi na uvumba mtu aliyerekodi video hiyo ili asaidie kutoa taarifa zaidi ni sawa. Nnadhani hiyo ilipaswa kuwa hatua ya kwanza kuchukuliwa kabla ya kuanza kukanusha na kutoa maonyo pamoja na vitisho. Vipi kama ataweza kuthibitisha uwepo wa mchele huo, ndipo mheshimiwa ataomba radhi au atatumia ubabe kuondoa kila aina ya ushahidi au italeta picha gani........ Haya ni mambo yaliyotakiwa kufikiriwa kabla
 
Kweli yule jamaa hakutumia akili
Plastic haiwezi natana

Na wanaokubali kuwa kuna mchele wa plastic ndiyo wajinga kabisa.

Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
 
Nasikitika jinsi wanavyokanusha kitu ambacho kimedhuru hata familia yangu. Nimeumia sana nilivyoona hii taarifa. Siamini mmeamua kukataa ukweli. Ila nasema toka moyoni, Mungu anawaona aisee. Atawajibu sawa na kiburi chenu. <br /><br />Sent from my SGH-I337M using JamiiForums mobile app

Sent from my SGH-I337M using JamiiForums mobile app
 
Scanner za chakula bandarini zitakua hazuwezi kutambua plastic

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Adi sasa sijaelewa huu ukanushwaji unafanywa kwa niaba ya nani na maslai ya nani??ivi zile clips za wali unaodunda kama kitenesi ni uongo???watanzania tumuogope mungu

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Kanunue mchele wa mpunga mpya, huu ndiyo msimu wake, upike halafu ukandamize uufanye matonge ya duara uone kama hautadunda. Tena mchele mpya ndiyo unadunda sana.

Hivi matumbo yenu yana mashine za kuyeyusha plastic ziwe mavi? Hamfikirii hata kiduchu?

Kamanda kamata hawa wajinga wote weka ndani, labda ndiyo watatia akili.
 
Nasikitika jinsi wanavyokanusha kitu ambacho kimedhuru hata familia yangu. Nimeumia sana nilivyoona hii taarifa. Siamini mmeamua kukataa ukweli. Ila nasema toka moyoni, Mungu anawaona aisee. Atawajibu sawa na kiburi chenu. <br /><br />Sent from my SGH-I337M using JamiiForums mobile app

Sent from my SGH-I337M using JamiiForums mobile app
Wacha uongo.

Familia yako ina matumbo ya mashine za kugeuza plastiki kuwa mavi?
 
Tatiizo ni la kitaaluma na weledi mdogo katika KUTAFITI.
Nijuavyo mimi huu ni mwanzo mzuri WA utafiti..

Swali. .je.TFDA hawako tayari japo kufanya katafiti fulani kuhusiana na hiyo SAMPLE inayoitwa mchele WA plastic?
NA wao waitafute japo waipike kama wali kicha wafinyange matonge machache wajiridhishe kwahili? ..

Nataka kuamini kuwa watanzania tumefichiwa elimu kwenye vitabu..hatupendi kusoma..unaacha madesa chuoni na ma compendium chuo...

JE..huyo Police asiyependa kutafiti atakuwa tayari kuachia ngazi tu pale itakapogundulika pasi na shaka kama huo mchele upo?

Je.TFDA nao watamfuata police huyo kwakuwajibika?

USHAURI WA BURE..
Hebu wakajifanye wanakula misosi kariakoo huenda Waka Pata majibu mazuri Zaid Sana kuliko kuropoka mapeeema..

Najua watasema hawawezi kula kwa mama lishe wasomi Hawa. Wenye vyeo tata..
Wasisahau sekondari walivyokuwa wanakula maharage yakuoza na uji usioiva...



Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Hii inaonekana ni kutishia raia ili hata kama kweli umeona ushindwe kutoa ushahidi kuogopa kupotezwa kweli bado Tanzania ina Safari ndefu kupata uongozi kamili usio ogopa changamoto

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app

Utishwe nini wewe?

Kachukue mchele mpya unaohakikisha ni mchele kweli halafu fanya ule upuuzi wa kuukandamiza kufanya matonge halafu uone matokeo.
 
Back
Top Bottom