Ni kama ilivyoandikwa kwenye Biblia "wana macho lakini hawaoni"

Kwa mwelekeo wa upinzani kuitoa CCM madarakani ni ndoto sana. Siku zote nawaambia hii miaka matano waitumie kuimarisha chama hasa katika Ngazi za mashina na huko ndiko kwenye kura nyingi sana. Ruzuku inayopatikana nendeni mkaimarishe chama ktk mashina nyie mmekazana tu kufanya mapress conference mamikutano kwenye mahotel ya gharama yasiyo na tija. Hizo press na mikutano zinamsaidiaje mwanachadema wa mpepai mbinga? By the way nchi ya Tz ni kubwa sana
 
Kupanga ni kuchagua...!!!
 
Dada yangu Juliana Shonza, Nimesoma andiiko lako vizuri lakini sijakumbuka ni lini umewahi toa hoja chanya na ushauri mzuri kwa CHADEMA.

Wewe ni CCM damu kabisa, napata shaka kuamini ushauri wako kama ni chanya kwa CHADEMA.

Ila uzuri ni kuwa unafahamika vyema. yote uliyonena kwa ufupi hayana mashiko sana.

Nimeipenda hii, mtu ameandika hoja kadhaa, mwingine anazijibu tu kwa kusema hoja zote hazina mashiko, basi kamaliza. Watu wanasoma mjue, na wanachambua hata uwezo wa wafuasi hasa mkiwa verified user. We unafikiri inakuwaje kama kuna kahoja kamoja kamemshawishi mtu halafu anataka kusikia upande mwingine unasemaje? Kusema tu 'uliyonena hayana mashiko' inatosha? Natafakari tu!
 
"Wana macho lakini hawaoni" - Ni nukuu maarufu iliyopo katika vitabu mbalimbali vya dini, ipo katika Biblia na ipo katika Quran. Kwenye Biblia nukuu hiyo imetajwa maeneo mengi kama vile Mathayo 13, Ezekieli 12 n.k.....Kimsingi nukuu hii inawazungumzia BINADAMU ambao huwa HAWAFIKIRI sawasawa, binadamu waliofungwa fikra zao.

Kwa kuwa hii ni thread yangu kwa mwaka huu, na kwa kuwa nimekuwa kimya katika jukwaa hili kwa takribani miezi 3, shule imekaba kidogo. Naomba niitumie thread hii kutoa salamu zangu za heri ya mwaka mpya kwa wana jamvi wote na pia kutoa pole kwa Makamanda kwa kumpoteza mpambanaji muhimu ambaye KUBENEA anadai AMEJITEKA, rafiki yangu Bernard Rabiu Saanane.

Mwaka 2015 niliwahi kuandika CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi na baadae mwezi wa nane mwaka jana 2016 nikaandika tena Msisitizo; CHADEMA kuna ombwe la uongozi leo kwa mara nyingine tena nalazimika kuandika mfano wa maneno hayo, hasa baada ya kusoma kilichoandikwa na Mhe Mbunge John Heche jana na baadae Mtatiro leo asubuhi. NI WAZI MANENO YAO YANDHIHIRISHA KUWA UPINZANI WA NCHI YETU UNA OMBWE KUBWA LA UONGOZI.

Ni ujinga tena upumbavu uliokomaa ambao wajuzi wa mambo wanaita "umbumbumbu" kwa wapinzani kuendelea kuvinyooshea kidole vyombo vya dola kila baada ya kushindwa uchaguzi.

MWENYEKITI Mtatiro anaposema CCM inaitumia DOLA, inatumia NEC, inatumia Rushwa, inatumia Hila, inatumia Mabavu wakati tunajua kuwa Mgombea wa CUF jimbo la Dimani hata fomu yake iliyopelekwa NEC haijapita kwenye ofisi ya Mwenyekiti wake, yaani kwa mgogoro mliouasisi wenyewe, mkaupalilia na kuuwekea mbolea kisha leo mgombea wenu anaposhindwa, bila aibu, bila hata soni unatoka mbele ya umma kusema umeshindwa uchaguzi kwa hila na kwa kuwa CCM inatumia Dola na kwamba NEC inatumika...tafadhali sana acha UJINGA wa namna hii. Ni kweli CUF ilitegemea USHINDI...seriously kabisa..???

Lakini ukweli ambao mmeendelea kuupuuza ni ule unaoendelea kudhihirika kuwa WATANZANIA sio WAJINGA...mlisimama na kumnadi Lowassa kuwa ni mwizi katika kila kona ya Nchi hii, leo ndio anasimama kwenye kila jukwaa lenu akinadi wagombea wenu wa Ubunge na Udiwani, na kila alipokanyaga Lowasa kwenye Kampeni mmeshindwa...mnasema CCM inatumia Dola...Watanzania sio wajinga.

Kimsingi Umaarufu wa UFIPA umepungua..,leo haitajwi tena UFIPA, inatajwa Lumumba, Haitajwi tena CHADEMA anatajwa LOWASSA, mmeendelea kumnawirisha mtu badala ya Chama, leo Mbowe hasikiki, Katibu Mkuu Mashinji ndio kabisa kama vile ni mfu, BAVICHA wanagombana na Vodacom na wanaidai Serikali iwarudishie Ben Saanane akiwa HAI tena asiwe hata na uvimbe wala mchubuko....then mnataka kushinda uchaguzi,,,HOW..? Hakuna hata hoja moja ya Wananchi mnayoisimamia, sio Rushwa, sio Ajira, sio Huduma za Maji, sio Umeme, sio Miundombinu, sio Bei za Vyakula/Mazao. CCM wanao ujasiri wa kutaja rushwa, wanaujasiri wa kuzungumzia maji, Waziri wa CCM anasema kuhusu bei ya Umeme, Rais anayetokana na CCM anaitengeneza upya TANESCO, CCM inawaneemesha wakulima kwa bei za mazao kupanda (kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Nchi hii Korosho imeuzwa kufikia 5000 kwa kilo.)

Mnaposimamia na kupigania mambo ya kipuuzi kwenye mitandao na magazeti na kuyaacha mambo ya msingi, WANANCHI nao wanawaonesheni Upuuzi unaolingana na ule mliowaonesha.

Samahani sana nimetumia lugha kali kidogo, lakini ndivyo ilivyo Ujinga wa Mwafrika bila kiboko hautoki kirahisi..!!
Wewe mganga njaa kaa kimya. Mwambie Mwenyekiti wako aruhusu siasa za majukwaani na bunge live, mpambano uanze.
 
Wewe binti Juliana Shonza, hebu epuka sana kutumia vitabu vitakatifu vya dini kwenye porojo na propaganda zako. Jaribu kujenga hoja bila kuhusisha mambo ya kidini. Mara kwa mara najiuliza, na hata kuidharau CHADEMA, ilikuwaje mtu mwenye uelewa kama wako ulikuwa Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa?

Umejibu hoja za Juliana kwa ustadi na upeo mkubwa wakili msomi.Hapaumedhihirisha wewe ni msomi kweli kweli. Hoja hujibiwa kwa hoja, namna hiyo. Nimezipenda hoja zako!
 
Wewe mganga njaa kaa kimya. Mwambie Mwenyekiti wako aruhusu siasa za majukwaani na bunge live, mpambano uanze.

Uchaguzi ni kama interview ya kazi, anayeshinda ndiye anayeajiriwa. Vipi aliyeshindwa alazimishe afanye kazi? Asubiri tangazo jingine la kazi, aombe afanye interview, akipata afanye kazi sio kulazimisha kuingia katika ofisi za watu kwa nguvu, atakamatwa na vyombo vya dola. Huo ndio utaratibu.
 
Hana lolote jipya lakini hauoni ni reflection ya kijacho 2020, kama chadema wanajiaminisha kukamata dola 2020 halafu wanashindwa hata kupokonya kata 1 kutoka CCM wewe huoni kuna tatizo mahali???!!!!

Tatizo lipo kwenye Muundo wa Tume ya Uchaguzi.
 
hahahaha chadema wamepata kipigo cha Mbwa mwizi.....
 
Labda na mimi nikushirikishe ktk and iko ambalo huja wapi kuliko maelezo. Mithali 28:16 inasemaje?
 
"Wana macho lakini hawaoni" - Ni nukuu maarufu iliyopo katika vitabu mbalimbali vya dini, ipo katika Biblia na ipo katika Quran. Kwenye Biblia nukuu hiyo imetajwa maeneo mengi kama vile Mathayo 13, Ezekieli 12 n.k.....Kimsingi nukuu hii inawazungumzia BINADAMU ambao huwa HAWAFIKIRI sawasawa, binadamu waliofungwa fikra zao.

Kwa kuwa hii ni thread yangu kwa mwaka huu, na kwa kuwa nimekuwa kimya katika jukwaa hili kwa takribani miezi 3, shule imekaba kidogo. Naomba niitumie thread hii kutoa salamu zangu za heri ya mwaka mpya kwa wana jamvi wote na pia kutoa pole kwa Makamanda kwa kumpoteza mpambanaji muhimu ambaye KUBENEA anadai AMEJITEKA, rafiki yangu Bernard Rabiu Saanane.

Mwaka 2015 niliwahi kuandika CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi na baadae mwezi wa nane mwaka jana 2016 nikaandika tena Msisitizo; CHADEMA kuna ombwe la uongozi leo kwa mara nyingine tena nalazimika kuandika mfano wa maneno hayo, hasa baada ya kusoma kilichoandikwa na Mhe Mbunge John Heche jana na baadae Mtatiro leo asubuhi. NI WAZI MANENO YAO YANDHIHIRISHA KUWA UPINZANI WA NCHI YETU UNA OMBWE KUBWA LA UONGOZI.

Ni ujinga tena upumbavu uliokomaa ambao wajuzi wa mambo wanaita "umbumbumbu" kwa wapinzani kuendelea kuvinyooshea kidole vyombo vya dola kila baada ya kushindwa uchaguzi.

MWENYEKITI Mtatiro anaposema CCM inaitumia DOLA, inatumia NEC, inatumia Rushwa, inatumia Hila, inatumia Mabavu wakati tunajua kuwa Mgombea wa CUF jimbo la Dimani hata fomu yake iliyopelekwa NEC haijapita kwenye ofisi ya Mwenyekiti wake, yaani kwa mgogoro mliouasisi wenyewe, mkaupalilia na kuuwekea mbolea kisha leo mgombea wenu anaposhindwa, bila aibu, bila hata soni unatoka mbele ya umma kusema umeshindwa uchaguzi kwa hila na kwa kuwa CCM inatumia Dola na kwamba NEC inatumika...tafadhali sana acha UJINGA wa namna hii. Ni kweli CUF ilitegemea USHINDI...seriously kabisa..???

Lakini ukweli ambao mmeendelea kuupuuza ni ule unaoendelea kudhihirika kuwa WATANZANIA sio WAJINGA...mlisimama na kumnadi Lowassa kuwa ni mwizi katika kila kona ya Nchi hii, leo ndio anasimama kwenye kila jukwaa lenu akinadi wagombea wenu wa Ubunge na Udiwani, na kila alipokanyaga Lowasa kwenye Kampeni mmeshindwa...mnasema CCM inatumia Dola...Watanzania sio wajinga.

Kimsingi Umaarufu wa UFIPA umepungua..,leo haitajwi tena UFIPA, inatajwa Lumumba, Haitajwi tena CHADEMA anatajwa LOWASSA, mmeendelea kumnawirisha mtu badala ya Chama, leo Mbowe hasikiki, Katibu Mkuu Mashinji ndio kabisa kama vile ni mfu, BAVICHA wanagombana na Vodacom na wanaidai Serikali iwarudishie Ben Saanane akiwa HAI tena asiwe hata na uvimbe wala mchubuko....then mnataka kushinda uchaguzi,,,HOW..? Hakuna hata hoja moja ya Wananchi mnayoisimamia, sio Rushwa, sio Ajira, sio Huduma za Maji, sio Umeme, sio Miundombinu, sio Bei za Vyakula/Mazao. CCM wanao ujasiri wa kutaja rushwa, wanaujasiri wa kuzungumzia maji, Waziri wa CCM anasema kuhusu bei ya Umeme, Rais anayetokana na CCM anaitengeneza upya TANESCO, CCM inawaneemesha wakulima kwa bei za mazao kupanda (kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Nchi hii Korosho imeuzwa kufikia 5000 kwa kilo.)

Mnaposimamia na kupigania mambo ya kipuuzi kwenye mitandao na magazeti na kuyaacha mambo ya msingi, WANANCHI nao wanawaonesheni Upuuzi unaolingana na ule mliowaonesha.

Samahani sana nimetumia lugha kali kidogo, lakini ndivyo ilivyo Ujinga wa Mwafrika bila kiboko hautoki kirahisi..!!

Pole ndugu yangu kwa kuumiza kichwa Biblia ina msemo wenye maudhi kwa wasioelewa" hata ukimtwanga mpumbavu katika kinu pamoja na ngano upumbavu wake hautamtoka".

Inategemea unazungumza na nani.Mjinga hubadilika maana sote tu wajinga katika baadhi ya maeneo, mpumbavu habadiliki.Siyo maneno yangu ni maneno ya kitabu ninachokiamini kuliko vitabu vyote.
 
"Wana macho lakini hawaoni" - Ni nukuu maarufu iliyopo katika vitabu mbalimbali vya dini, ipo katika Biblia na ipo katika Quran. Kwenye Biblia nukuu hiyo imetajwa maeneo mengi kama vile Mathayo 13, Ezekieli 12 n.k.....Kimsingi nukuu hii inawazungumzia BINADAMU ambao huwa HAWAFIKIRI sawasawa, binadamu waliofungwa fikra zao.

Kwa kuwa hii ni thread yangu kwa mwaka huu, na kwa kuwa nimekuwa kimya katika jukwaa hili kwa takribani miezi 3, shule imekaba kidogo. Naomba niitumie thread hii kutoa salamu zangu za heri ya mwaka mpya kwa wana jamvi wote na pia kutoa pole kwa Makamanda kwa kumpoteza mpambanaji muhimu ambaye KUBENEA anadai AMEJITEKA, rafiki yangu Bernard Rabiu Saanane.

Mwaka 2015 niliwahi kuandika CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi na baadae mwezi wa nane mwaka jana 2016 nikaandika tena Msisitizo; CHADEMA kuna ombwe la uongozi leo kwa mara nyingine tena nalazimika kuandika mfano wa maneno hayo, hasa baada ya kusoma kilichoandikwa na Mhe Mbunge John Heche jana na baadae Mtatiro leo asubuhi. NI WAZI MANENO YAO YANDHIHIRISHA KUWA UPINZANI WA NCHI YETU UNA OMBWE KUBWA LA UONGOZI.

Ni ujinga tena upumbavu uliokomaa ambao wajuzi wa mambo wanaita "umbumbumbu" kwa wapinzani kuendelea kuvinyooshea kidole vyombo vya dola kila baada ya kushindwa uchaguzi.

MWENYEKITI Mtatiro anaposema CCM inaitumia DOLA, inatumia NEC, inatumia Rushwa, inatumia Hila, inatumia Mabavu wakati tunajua kuwa Mgombea wa CUF jimbo la Dimani hata fomu yake iliyopelekwa NEC haijapita kwenye ofisi ya Mwenyekiti wake, yaani kwa mgogoro mliouasisi wenyewe, mkaupalilia na kuuwekea mbolea kisha leo mgombea wenu anaposhindwa, bila aibu, bila hata soni unatoka mbele ya umma kusema umeshindwa uchaguzi kwa hila na kwa kuwa CCM inatumia Dola na kwamba NEC inatumika...tafadhali sana acha UJINGA wa namna hii. Ni kweli CUF ilitegemea USHINDI...seriously kabisa..???

Lakini ukweli ambao mmeendelea kuupuuza ni ule unaoendelea kudhihirika kuwa WATANZANIA sio WAJINGA...mlisimama na kumnadi Lowassa kuwa ni mwizi katika kila kona ya Nchi hii, leo ndio anasimama kwenye kila jukwaa lenu akinadi wagombea wenu wa Ubunge na Udiwani, na kila alipokanyaga Lowasa kwenye Kampeni mmeshindwa...mnasema CCM inatumia Dola...Watanzania sio wajinga.

Kimsingi Umaarufu wa UFIPA umepungua..,leo haitajwi tena UFIPA, inatajwa Lumumba, Haitajwi tena CHADEMA anatajwa LOWASSA, mmeendelea kumnawirisha mtu badala ya Chama, leo Mbowe hasikiki, Katibu Mkuu Mashinji ndio kabisa kama vile ni mfu, BAVICHA wanagombana na Vodacom na wanaidai Serikali iwarudishie Ben Saanane akiwa HAI tena asiwe hata na uvimbe wala mchubuko....then mnataka kushinda uchaguzi,,,HOW..? Hakuna hata hoja moja ya Wananchi mnayoisimamia, sio Rushwa, sio Ajira, sio Huduma za Maji, sio Umeme, sio Miundombinu, sio Bei za Vyakula/Mazao. CCM wanao ujasiri wa kutaja rushwa, wanaujasiri wa kuzungumzia maji, Waziri wa CCM anasema kuhusu bei ya Umeme, Rais anayetokana na CCM anaitengeneza upya TANESCO, CCM inawaneemesha wakulima kwa bei za mazao kupanda (kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Nchi hii Korosho imeuzwa kufikia 5000 kwa kilo.)

Mnaposimamia na kupigania mambo ya kipuuzi kwenye mitandao na magazeti na kuyaacha mambo ya msingi, WANANCHI nao wanawaonesheni Upuuzi unaolingana na ule mliowaonesha.

Samahani sana nimetumia lugha kali kidogo, lakini ndivyo ilivyo Ujinga wa Mwafrika bila kiboko hautoki kirahisi..!!
Kiukweli tulikuwa tunaidharau jf, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya, yamesaidia saidia, huwezi jua!. Zamani nilikuwa napitia mabandiko yako kwa dharau na kujibu kwa kejeli, lakini baada ya uteuzi, sasa napitia mabandiko yako yote kwa makini zaidi, heshima na adabu haswa kwa kuzingatia wewe sasa ndio bosi wangu kwenye tasnia ya habari.

Karibu Boss, Mheshimiwa saba, Bi Juliana Shonza.

Paskali.
 
Back
Top Bottom