Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.
Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
Nilivyoangalia mchezo baina ya Azam na Yanga kwenye fainali za CRDB, ni wazi kuwa bila ya kuwa golikipa Mohammed Mustafa, Azam ingekuwa na wakati mgumu sana. Kwa vile Azam inaingia kwenye...
Daktari nguli toka Zambia ametoa tamko kupitia Facebook ambalo wapenda punyeto huenda wakalifurahia sana. Binafsi sina facts za kisayansi kumpinga ila kulingana na ongezeko la wauza dawa za nguvu...
Pendekezo la Utafutaji wa Mwekezaji kwa Mradi wa Uzalishaji na Uuzaji wa Gesi ya Kupikia hapa Dar es Salaam, Tanzania
Muhtasari: Tunayo furaha kutoa pendekezo letu la kutafuta mwekezaji au tajiri...
Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe.
Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.