Dakika za jioooooniiiii kwa sauti ya Pascal Kabombe, Nasreddine Nabi anakaribia kuukosa Ubingwa wa Morocco baada ya kuongoza ligi karibia msimu mzima.
Baada ya matokeo haya, Raja Casablanca kwa...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha
Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume...
Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe.
Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini.
Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
Wakuu nimeamini sisi wakulima wadogo wadogo hatutokaa tupate utajiri kupitia kilimo kamwe,
Nimeshangaa bei za mahindi kwa huku Handeni mpaka sahivi eti gunia ni 35000 ukizingatia mahindi ya mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.