Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
261 Reactions
425K Replies
15M Views
Nice guy mwingine kauziwa mbuzi kwenye gunia. Juzi kati nimepewa taarifa kuna demu anaolewa, huyu demu tumesoma pamoja chuo. This is not personal but the trust is huyu demu kakitombesha sana...
50 Reactions
174 Replies
5K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Kuna maeneo mengine mengi tu tena yenye utulivu wa kutosha. Kwanini lazima iwe bar na sio sehemu nyingine?
2 Reactions
21 Replies
170 Views
Habarini, Nimeona haszu akipondwa na wanaume wa jf kwa kujiita "handsome" wengine wakimtuhumu kuwa ni shoga etc. Ingawa ni kweli baadhi ya wanaume handsome ni mashoga, lakini haimaanishi kwamba...
8 Reactions
27 Replies
349 Views
Natumaini wote wazima wa afya. Naomba kujuzwa: ni chuo gani nchini Tanzania kinafundisha matengenezo ya zile mashine zinazotumika Hospitalini(Dental,Scanners,......)?? Natanguliza shukurani
0 Reactions
2 Replies
28 Views
Habari wakuu. Kwa wakazi na wenyeji wa Iringa, naomba kufahamishwa vivutio au sehemu ambazo zinavutia nje ya mji ambazo itakuwa day trip...namaanisha nitakwenda na kurudi kulala mjini...
3 Reactions
57 Replies
178 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
43 Reactions
52K Replies
3M Views
Habari wanajamvi Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
6 Reactions
89 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,489
Posts
49,777,150
Back
Top Bottom