Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume,
Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo...
Guys nilifanya hivi....
Nilitituma 50,000 kwa mama.
Then nikatuma 50,000 kwa Girlfriend.
Majibu yalikuwa hivi
MAMA: Asante sana baba ubarikiwe sana
GF: Hii hela hata haioshi maana nina mambo...
Wanaukumbi.
🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO.
Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
Hapa nyumbani nina kadi ya mchango wa harusi wa sh 20,000 nimegoma kutoa sababu naona ni matumizi mabaya ya hela.
Hivi vijeba vinne vimejipigapiga vimefanikiwa kutoa hiki kiasi kidogo walichojaliwa.
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani?
Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Karibia asilimia 85 ya wanawake huwa hawawezi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Kumfikisha mwanamke kileleni ni art ambayo ni wanaume wachache sana wanayo. Wengi wa wanawake hata kama...
unampenda, unamuamini, unamkubali, unamjali na kumthamini n.k
kiufupi mnapendana sana na mko pamoja kitambo sasa....
ila kuna jambo moja tu linakukera, linakufedhahesha sana, linakusononesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.