Habari wana Jf, niende moja kwa moja kwenye mada ya leo,ishara tano zinazoweza kumtokea mtu anayekaribia kufa, kabla sijaanza kupitia ishara hizo tano kwanza ningetoa mfano mmoja ambao Ni tukio la...
Kuna mtu nilishawahi kumuuliza Hivi Kutengeneza Juice ya Ukwaju na Ikawa Nzito kama ya Mzee wetu, inahitaji utengeneze na Ukwaju kiasi gani?.
na je ushawahi kuona au kusikia wamenunu maembe au...
Hakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
Aisee, kama ndoa ndo ngumu kiasi hiki, hiki kikombe kiniepuke kwa kweli. Ni mara mia nitafute mdada, nimpachike mimba kwa makubariano. Siwezi, nasema tena Siwezi, Mola anisaidie. Ni kugumu japo...
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
Hakika Mungu ameiumba dunia kwa ufundi mkubwa sana na akawaweka viumbe kisha akatugawa kwa matabaka mbalimbali na akawakadiria riziki kila mtu kwa nafasi yake na kwa usawa ili dunia ipate kusonga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.