Unayo sababu na umuhimu kwa nafasi uliyokuwapo, mshukuru muumba wako

Analog

JF-Expert Member
Apr 4, 2024
221
447
Hakika Mungu ameiumba dunia kwa ufundi mkubwa sana na akawaweka viumbe kisha akatugawa kwa matabaka mbalimbali na akawakadiria riziki kila mtu kwa nafasi yake na kwa usawa ili dunia ipate kusonga. Hebu fikiria.

  • Hebu fikiria, sote tungekuwa wa jamii na tamaduni moja pekee ungelikuwepo Utalii?
  • Hebu fikiria, sote tungelikuwa matajiri nani angekubari kuwa kijakazi kwa mwenzake?

Hayupo wa kumdharau mwenzake sababu sote tuna umuhimu kwa nafasi zetu...
 
Hakika Mungu ameiumba dunia kwa ufundi
Watu wanaopenda kutoa credit za kinafki siwapendi.

Mamilioni ya watu wanakufa kwa matetemeko na masunami ambayo ni majanga ya asili lakini bado unasema kaumba dunia kwa ufundi?
 
Watu wanaopenda kutoa credit za kinafki siwapendi.

Mamilioni ya watu wanakufa kwa matetemeko na masunami ambayo ni majanga ya asili lakini bado unasema kaumba dunia kwa ufundi?
Ndugu yangu scars kifu kina sababu na hiyo ni moja ya sababu.
 
Back
Top Bottom