Habari.
Karibuni kwa kujadili hii mada natumaini ninaweza kupata uzoefu(Experience) zaidi kuhusiana masuala ya ndoa na mahusiano.
Kumekuwa na wimbi kubwa la ndoa nyingi kuvunjika,migogoro ya...
Nashangaa sana na inashangaza sana
Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake
Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!!
Rais Samia kwa jina lake na pesa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.
Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.
Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule.
Kweli ni...
Assalam aleikyum guys
Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi...
Wakuu i hope mko poa wote.
Me nafanya business ya kuuza used (but still good) products. Nina platforms zangu na social pages zenye wafuatiliaji wengi wanaohitaji vitu vizuri yes, but dukani ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.