Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hi, Kuna kitu nashangaa kuhusu sisi wanaume, naongelea from experience nliyoona from washkaji wangu wa karibu, utakuta mwanaume ni malaya mbwa, michepuko anayo kama yote, na malaya ananunua...
7 Reactions
26 Replies
719 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama, kueneza chama ,kuongeza wanachama na wafuasi,kupata kura za ndio kutoka kwa watu inahitaji akili, umakini,sera,ajenda zenye kugusa maisha ya watu. Inahitaji...
-3 Reactions
109 Replies
1K Views
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana...
8 Reactions
83 Replies
1K Views
Imekuwa kawaida kwa mods kufuta uzi kwa sababu yawezekana nao wamekuwa wafuasi wa watu fulani hapa JF. Mkuu Max, JF umeijenga katika misingi ya hoja, haki, kuheshimiana na kubishana kwa hoja sio...
1 Reactions
6 Replies
7 Views
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni...
5 Reactions
30 Replies
236 Views
Wakuu i hope mko poa wote. Me nafanya business ya kuuza used (but still good) products. Nina platforms zangu na social pages zenye wafuatiliaji wengi wanaohitaji vitu vizuri yes, but dukani ni...
3 Reactions
11 Replies
128 Views
ASKARI POLISI NA DAS WAAMRIWA KUMLIPA RAIA MILIONI 10 KWA KUMUWEKA NDANI BILA KOSA. Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241. Mahakama kuu Kanda ya Manyara imeamuru askari polisi(OC-CID) na DAS...
15 Reactions
17 Replies
292 Views
Ndugu Wanajamvi, Ninawaletea mjadala wenye uzito wa kielimu na kifikra kuhusu maendeleo mapya katika teknolojia ya uzazi wa mpango kwa wanaume. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mjadala...
1 Reactions
10 Replies
114 Views
Habari wanaforums, naomba kujuzwa Data au MB zinatengenezwa wapi, haiwezekani mtu yeyote kitaa akazitengeneza kimagendo?
33 Reactions
108 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,931
Posts
49,845,772
Back
Top Bottom