Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

mnadhani hivi vyote vimetokea kimiujiza ? furaha tulizokuwa tunazopata hasa kimataifa mnadhani ni mpera umetoa zabibu ? Kufuzu robo fainali mashindano ya caf ishakuwa kawaida, timu kubwa kama al...
2 Reactions
40 Replies
419 Views
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
4 Reactions
47 Replies
239 Views
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia. Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari...
7 Reactions
50 Replies
1K Views
Hili naliandika kwa uchungu mno kwakuwa waathirika ni wengi na hata pengine baadhi ya wana JF ni wahanga. Maisha yanatufunza mengi yanatuonyesha mengi na yanatufunulia mengi Kuna familia...
365 Reactions
1K Replies
188K Views
...tunaendelea Ingekuwa hoja kama tusingemsema Magufuli kwa mfano, kuna mtu alimsema Magufuli kama mie? Kuna mtu alimsema Kikwete kama sisi? Mpaka Mkapa, mie kesi yangu ya kwanza ni ya Mkapa...
12 Reactions
34 Replies
973 Views
Wakuu habari, poleni na majukumu ya kila siku. Ni hivi wadau kila nikishika simu yangu nakuiona app ya JF napata hasira natamani kupigiza simu yangu chini, Maana bila platform hii huwenda...
67 Reactions
222 Replies
10K Views
WAUNGWANA. Wakati mwanamke wako anapoanza kukupa mtazamo, anaacha kukupigia simu, anaanza kujiweka mbali na wewe, na kuondoa umakini wake kutoka kwako. Usiogope, tunza sura yako kama simba. Ni...
14 Reactions
139 Replies
824 Views
1.Nataka Nisaidiwe Kuamsha/Kuzindua Kundalini Gharama Shilingi NGAPI? 🗣️JIBU;- Kuamsha Kundalini Hakuna Atakae kusaidia Si mchawi wala mganga Wala mtabiri Wa Nyota, Hakuna Dawa wala Pete ya kuvaa...
4 Reactions
13 Replies
449 Views
Mkaka upo madhabahuni anamvalisha pete mdada huku umepiga goti, huna uhakika kama mtaishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe. Hivi huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
5 Reactions
49 Replies
92 Views
Eti wakuu pale kwenye ibada inatakiwa kutoa pesa ngapi kama mchango wa sadaka au kiwango chochote ni sawa tu?
5 Reactions
29 Replies
328 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,709
Posts
49,838,827
Back
Top Bottom