Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja.
Napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga...
Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza...
Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu
Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Duniani kuna miti mingi sana yenye nguvu za asili za miujiza
Katika miti hiyo mmoja wapo ni mti wa kisamvu
Kisamvu ni mboga, mizizi yake ni chakula na hata shina lake huweza kutumika kama kuni...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Habarini za Jioni hii wakuu na watz wenzangu, poleni kwa majukumu ya siku nzima na wale ambao ndio mmeingia kazini poleni na kazi pia.
Nimeweka huu uzi tujaribu kushirikiana kwenye hili jambo...
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
Rafiki yangu na ndugu yangu Richard Massawe kutoka Rombo huu ni ujumbe wako
Ndugu yangu na marafiki zangu wa MMU naombeni mnisaidie ili napate hela yangu (3,000,000/=) ambazo nilimuazima member...
Kampuni ya mitaji ya Singapore, PAY imetoa dola za kimarekani milioni 320 kwa mradi wa Graphite mkoani Ruangwa unaotekelezwa na Magnis.
Kampuni ya Magnis Energy kupitia kampuni yake tanzu nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.