Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu, nmechaguliwa kozi ya Bachelor Degree in Community Development for water supply and sanitation katika chuo tajwa hapo juu. Hivyo naomba kama kuna mtu amewahi kuisoma kozi hiyo anisaidie...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ilikuwa ni asubuhi na mapema mwezi uliopita,nimeamka ili niende kwenye mihangaiko yangu,ghafla nikasikia tumbo kama linakatwa na kisu Ile shwaaaa! Nikashtuka nini hiki,nikajikaza hapo nikaendelea...
5 Reactions
12 Replies
127 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
34K Replies
2M Views
Askofu Mwanamapinduzi anesema amekamatwa na Polisi kutokana na kauli yake ya uchochezi "Rais amekataliwa na Mungu" Ametoa ufafanuzi huo Ukurasani kwake X Namuuliza askofu Mwanamapinduzi; enzi za...
3 Reactions
76 Replies
2K Views
=== Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania. Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
21 Reactions
129 Replies
2K Views
Hivi kuna haja gani ya kumlamisha mteja kupata huduma ambayo hana haja nayo?. Mtu anahitaji kuunga kifurushi cha data yaani internet bundle, lakini anapewa dakika ama na sms bundle. Sasa...
1 Reactions
4 Replies
85 Views
Weengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza Weeengi humu wanaamini mtu mweusi ni ungaunga mwana weengi humu...
2 Reactions
3 Replies
18 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
138K Replies
9M Views
Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjjawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi. Iko hivi huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na...
19 Reactions
91 Replies
837 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,109
Posts
49,819,523
Back
Top Bottom