Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali.
Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani...
Serikali ya Cuba imethibitisha uwepo wa nyambizi tatu za nyuklia Nchi humo hii inafuatia kauli ya Rais dhaifu wa Marekani Joe Biden kutaka Ukraine ishambulie Russia kwa silaha za Marekani...
Mikoa 26 ya Tanzania Bara imegawanywa kwenye Kanda 7 za Kiutawala.
Mkoa wa Iringa Kwa Sasa uko Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
Ingefaa Kwa Serikali kuiondoa Iringa Nyanda za Juu Kusini na...
Leo nimeona nishare hii story yangu.
Ilikuwa hivi, nilivomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.