Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

My Take Beatrice wa Moshi amelipa Ile ya Penina wa Goba.Ubaonunasomae 1=1,ngoma hii Bado hakuna mshindi 😆😆😆😆😆 ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi...
7 Reactions
193 Replies
3K Views
Ni hivi penzi bado jipya kabisa. Na kitoto cha elfu 2. Kimeomba godoro. Siwezi kutoa laki 2 au 3 kununua godoro jipya ila nyumbani kwangu Nina godoro ambalo sili tumii. Ni yale magodoro...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Wanaukumbi. Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi...
7 Reactions
135 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu. Wakubwa shkamoo...... Ushawahi kujiuliza maisha yangekuwaje bila Dini? Leo nimewaza nikawazua na kuangalia mifano iliyohai kuhusu uhusiano uliopo kati ya mtu kuwa na roho ya...
4 Reactions
65 Replies
626 Views
Naipenda hii. Id lkn ananipuuzia nikilike nyuzi zake yy alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lkn anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu pm kafunga nlmwamba...
11 Reactions
89 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili.na pia awe na shida na kama hii pia yaani Nawe anahitaji mtoto. I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu. Na kunisaidia kuishi Maisha yenye...
23 Reactions
186 Replies
1K Views
Takukuru Mkoa wa Arusha imesema Watumishi wawili wa Halmashauri ya Jiji La Arusha wanadaiwa kughushi Namba ya Mlipakodi na Kampuni hewa ya kulipia mapato Hii ni baada ya RC Makonda kuagiza...
4 Reactions
16 Replies
177 Views
Wewe sio type yake kabisa ni vile tu hajaanza kuwa na kibunda cha maana. Akizipata...
7 Reactions
63 Replies
737 Views
Salaam, Shalom!! Nilipokuwa katika ziara ya Utalii wa ndani, nimekumbana na kero hii ya magugu maji ziwa Viktoria. Wataalam wasema, haya magugu ziwa Viktoria hayakuwepo miaka ya nyuma, ni mradi...
0 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,426
Posts
49,716,617
Back
Top Bottom