Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Rafiki yangu mpendwa, Hadithi za kulala masikini na kuamka tajiri zimekuwa zinapendwa sana na watu wengi. Wengi hudhani kuna njia ya mkato ya kupata utajiri, ambayo wakiweza kuipata tu basi...
1 Reactions
2 Replies
28 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
519K Replies
30M Views
Habari wanaBodi... Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na...
2 Reactions
4 Replies
71 Views
Vijana wadogo msijisumbue kujibu!!!!
1 Reactions
5 Replies
132 Views
Kwa anayefahamu namna ya kupiga shuti la Mzungusho kwenye ps3 PES tafadhali nielelekeze maujuzi.
1 Reactions
8 Replies
70 Views
Mwezi Mmoja umepita baada ya kumtumia, lakini yeye pia alichangia ni msichana anae onesha kunipenda sana. katengeneza mazingira Hadi nikaingia mkenge wa kuzini nae marakadhaa. Ndio kwanza...
10 Reactions
99 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania. Mama huyu...
3 Reactions
145 Replies
2K Views
Hello bosses and roses, it has been a while... Leo ngoja nimuongelee huyu kinda wa NBA kwa jina la Antony Edwards au Ant-Man, dogo wa 2001 tu hapa anaekipiga kwenye team ya Minnesota...
3 Reactions
38 Replies
556 Views
Sikuwahi kutarajia hii hali. Nina mshikaji wangu ambaye tulikutana kwenye kituo cha kazi mkoa x kipindi hicho mimi ndo nimetoka kumaliza chuo. Hatuzidiani sana umri sema mimi ndo namzidi jamaa...
3 Reactions
16 Replies
262 Views
Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
21 Reactions
109 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,389
Posts
49,689,340
Back
Top Bottom