Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna jambo lina cost kma elf 60, kila siku nalipa tar kua sina hela. Leo kuna binti kakubali kwenda out na mimi nimetoa laki 2. Safari imeishia kati binti kapata dharura, nimerudi nyumbani na ile...
8 Reactions
33 Replies
855 Views
Tehran, afisa wa ngazi za juu aliyekua anahusika na upelelezi wa ajali iliyogharimu maisha ya Rais wa Iran siku chache zilizopita amepigwa risasi na kufariki. "Huku mtu aliyempiga risasi...
12 Reactions
105 Replies
2K Views
Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko...
9 Reactions
74 Replies
2K Views
Niaje waungwana Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
9 Reactions
226 Replies
2K Views
Angalau hajakukaba kukupora au kufanya ujambazi wa unyama kupelekea mauti ya ndugu yako. Hivi unadhani kuna mtu yuko tayari kupoteza nafasi ya kuhudimia familia bila ya kuwa omba omba na mfalme...
0 Reactions
1 Replies
20 Views
nyie Watanzania wenzangu ambao Kutwa napata Taarifa za Kujiua Kwenu kwa Kukata Tamaa ya Maisha au mnataka sasa na Sisi ( hasa Mimi GENTAMYCINE ) niwapeni Historia yangu Kubwa ya Mapito makubwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kitaa sio safi! kuna muda hauwezi kuyaondoa machungu kwa kulia bali inahitaji busara ya kujitia upofu wa kuyaona machungu yako,unaweza ukalia ila yakawa ya samaki na remi ongala. Sisi watanzania...
2 Reactions
8 Replies
96 Views
  • Suggestion
UTANGULIZI Tanzania tuitakayo lazima tuweke misingi Bora na endelevu katika kilimo. Hii ni sekta nyeti ambayo inamchango mkubwa katika uchumi wa nchi zaidi ya asilimia 25 na kuajiri nguvu kazi...
1 Reactions
1 Replies
35 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views
Salaam,Shalom!! Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali...
2 Reactions
19 Replies
169 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,238
Posts
49,685,728
Back
Top Bottom