TUSIPOVAMIA TUTAENDELEA KUVURUGANA.
Na, Robert Heriel.
Naiona future ya nchi yetu ikizidi kudidimia. Nakiona kizazi hiki kikiwa na mwisho mbaya wa kusikitisha. Kwa kweli tunayosababu ya kuchukua...
Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART).
Video ya tangazo la jaribio la...
Nawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari wakuu,
Kuna kazi niliiomba kwenye NGO ya wa Norway. Nikiri ya kwamba sijawai ona Hiring process ndefu kama ya hili shirika.
Nilikuwa shortlisted nkapiga interview ya kwanza ambayo ilikuwa...
Tecno skuizi kama hawapo vile Ila wana vitu harari Kimya Kimya, mda mrefu Redmi zimekuwa zikisifiwa sna Ila huyu mwamba hasikiki
Wametoa Toleo Lao jipya camon 30 naona wamebadilika SANA
Camera...
Paul Okoye, maarufu kama Rudeboy kutoka kundi la muziki wa Afrobeats la PSquare amezua gumzo mitandaoni baada ya kuwashauri wanaume pia kukumbatia hulka ya kukataa mpenzi wa kike asiye na hela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.