Kama unahisi ushaona kila kitu katika dunia hii basi bado.
Mariam Birian ambaye ni mdada mpika birian maeneo ya Tabata na maarufu huko mitandaoni (wengi mnajua umaarufu wake) amevalishwa pete na...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Inapofika msimu wa kuandikisha watoto serikali inazisitiza wakaandikishwe,lakini wakishaanza shule ufuatiliaji wake unapunguwa hali inayopelekea watoto kuzurula mtaani.Wazazi walaumiwe na serikali...
Tehran, afisa wa ngazi za juu aliyekua anahusika na upelelezi wa ajali iliyogharimu maisha ya rais wa Iran siku chache zilizopita amepiga risasi na kufariki.
"huku mtu aliyempiga risasi...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Massawe, Benki ya Kigali, benki kubwa ya Rwanda kwa mali, imemthibitisha Deogratius Massawe kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa kitengo cha teknolojia, BK Techouse.
Deo alikuwa kaimu Mkurugenzi...
Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (Written) ya secretarieti ya ajira ni nani anayekuwa anaitunga? Maana nilikutana na mabinti kwenye BUS wanalalamika wamepewa maswali yote...
Nchi za Uganda na Burundi zimekubaliana kujenga Barabara ya kuziunganisha Moja kwa Moja Kupitia Tanzania Ili Kuikwepa Rwanda ambayo imekuwa haiaminiki.
Barabara hiyo ambayo inatajwa kama ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.