Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
Nauza viti vya mbao ambayo unaweza kutumia bar,grocery au mgahawani...
viti vinapatikana shekilango nyuma ya ofisi za abood bus au shabiby
■ kiti cha watu 2 vipo vi3
■meza 3
■stuli 6
inamaanisha...
Inaonekana kwasasa jamii yetu na ya Dunia kwa ujumla ina struggle katika kujua sifa za asili za mwanamke kwa kuzingatia misingi ya mahitaji ya kijinsia.
Tokea kuumbwa kwa ulimwengu viumbe...
Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth...
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu.
Kuanzia...
Siikatai kuwa kuna Askari Polisi wasio waadilifu! Karibia kila taaluma kuna watu wasiozingatia maadili ya kazi/taaluma zao
Kule nchini Marekani, Polisi mmoja alibaini kuwa leseni ya udereva wa...
Ni wanandoa wawili wa huko Marekani,,ndoa yao haikuwa na furaha na hata sex kwao ilikuwa ni ya mbinde sana.
Mume alikuwa nyumbani kutokana na mkataba wake wa kazi kuisha katika kampuni...
Moja kwa moja kwenye mada…
Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..
Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza haya majina ya vimbunga. Mfano hicho kimbunga huko Nchini Zambia kinaitwa FREDDY miaka ya Nyuma kulitokea vimbunga Nchini Marekani wajuvi wanapenda kupaita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.