Pafukapo moshi ujue kuna moto ,
za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa Chadema yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti.
Kikao...
Haiingii Akilini Mlinzi unaagana nae Usiku Saa 4 unamuacha kakaa Lindoni huku Taa inammulika, ukiamka Usiku Kimachale ili nawe pia kufanya Lindo lako la Kisirisiri kwani Siku hizi hakuna...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wachunguzi wa vikwazo wa Umoja wa Mataifa wameiambia kamati ya vikwazo ya Baraza la Usalama la umoja huo kuwa, mabaki ya kombora yaliyopatikana katika mji wa Kharkiv nchini Ukraine mnamo Januari 2...
Hili ni swali lenye lengo la kuhitimisha Mjadala wa kero za Muungano .
Tunataka kujua kama Micheweni, Kikwajuni, Chakechake au labda Kizimkazi kama ameonekana DC yeyote mwenye vinasaba vya...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ndiye mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day) kwa Mwaka 2024 yanayohitimishwa leo Mei 3, 2024...
Kwa mfano Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia alishiriki Birthday ya Mbunge Mstaafu wa Chadema Mbeya Mjini Bilionea Sugu kuna ubaya gani Sugu Kuomba hela ya Kampeni kwa mama
Au pale Kanisani Machame...
Habari
Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi.
Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.