Salaam, Shalom!!
Amesikika Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA Mh TUNDU Lissu akitajadharisha wanachama wa CHADEMA kuwa makini sababu tayari Kuna pesa zimeingia kuchafua chaguzi ndani ya chama.
Amedai...
Bonjour,
Hapo Zanziba usipofunga unakandikwa bakora lakini kufiran.a ruksa. Unashangaa ?! Watakwambia suna yakhe.
Watu ma tamadudini za Arabia hasa hawa simbilisi weusi wavaa kanzu ni wanafiki...
Nilikuwa nikiwachukulia viongozi wa dini kama watu waliofilisika mawazo wanapoongelea masuala ya tabia nchi. Sikuona sababu ya wao kuongelea masuala hayo wakati kuna wataalam wanaohusika nayo.
Ni...
Wakati Watanzania wanaendelea kula Dozi ya Ubongo( Brain Vitamins) kutoka kwa Wakili Nguli na Mpigania haki Mh Makamu Mwenyenyekiti wa Chadema kwenye ziara zake.
Mh Lissu ambaye yuko ziarani ktk...
Tuwekane sawa
#Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu.
#Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa...
Kwa hiki kinachoendelea pole sana watumisho wa umma haiwezekani mtumishi no.1 hakashindwa kufika kwenye siku ya Wafanya Kazi ambayo yeye ni mwenyekiti na ni mwajiri wa watumisho yote.. Alafu Cha...
TUNDU LISSU TOFAUTISHA SAMIA NA RAIS SAMIA. MUUNGANO NI ROHO YETU
Na, Suphian Juma Nkuwi.
Salaams Watanzania wenzangu,
Nimeona Kaka yangu kutoka mkoa niliyozaliwa wa Singida, Makamu Mwenyekiti...
Akizungumza na wananchi wa Iringa, leo Mei 2, 2024, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia anatumia picha za viongozi waandamizi wa Chama chake akiwemo yeye kuweka mabango...
Gari nzuri zisizoongelewa sana na wabongo
Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana, ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa watanzania.
Gari hizi zinavitu vingi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.