Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

TANZANIA TUNAHITAJI SHERIA YA MSAMARIA MWEMA ILI KUWAOKOA MAJERUHI Ndugu Viongozi wetu Imefika wakati sasa Tanzania tunahitaji sheria ya Msamaria mwema au kwa kiingereza Good Samaritan Law...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe,mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote? Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi? Nimeona serikali inataka...
4 Reactions
61 Replies
525 Views
  • Sticky
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies. Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
68 Reactions
23K Replies
2M Views
Simba na Yanga walishwahi kumtaka Abdul Suleiman Sopu lakini bwana mdogo alikataa ofa za mapacha na kukimbilia chamazi (azam ) siyo kwamba labda bwana mdogo alikua hataki exposure za mapacha...
2 Reactions
16 Replies
233 Views
Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki . Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu ...
13 Reactions
88 Replies
2K Views
Wakuu habari, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko...
8 Reactions
149 Replies
1K Views
Yaani kama kuna Siku ambayo GENTAMYCINE nitajikita Kusoma sana tu Comments zenu basi ni katika huu Uzi wa leo.
1 Reactions
13 Replies
76 Views
MAMBO NILIYOJIFUNZA KATIKA MAISHA YANGU NIKIWA NINA MIAKA KATI YA 20 MPAKA 30 Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Nilianza kutafuta maarifa na hekima tangu nikiwa mdogo, mtoto wa miaka saba hivi...
24 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari za Wakati huu. Hivi inakuwaje Nyaraka zetu kama barua, mitihani, vyeti, nk zinatumika kufungia mandazi, vitumbua, mchicha, nk Leo nimenunua chapati nje ya chuo cha MUHAS na kifungiwa...
4 Reactions
16 Replies
186 Views
Huwa nawaza hawa watumishi wa umma wanapatikanaje aisee ukienda ofisi za umma licha ya kuwa na majibu ya hovyo bado unakuta mtu amevaa sijui nini msabato siyo msabato tabu tupu angalia mabenki ya...
9 Reactions
27 Replies
625 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,184
Posts
49,510,948
Members
667,003
Latest member
JustinDrude
Back
Top Bottom