Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

1. Majuzi nilipata msiba wa Kaka yangu hapo Muhimbili basi akapelekwa Mochwari. 2. Kimbembe siku ya kumtoa kwa ajili ya ibada na Maziko. 3. Wale wahudumu kama hujatoa pesa ya chai utashinda...
2 Reactions
10 Replies
298 Views
Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja...
23 Reactions
62 Replies
2K Views
Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa...
0 Reactions
23 Replies
432 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
383K Replies
11M Views
Eti wakuu? Majibu yawe mafupimafupi
1 Reactions
30 Replies
453 Views
Wewe je? Kumbukumbu zako zimeanzia ukiwa na umri gani au tukuache kwanza? Wakuu msiwachukulie poa hawa madogo na msitende mambo hasi mbele yao ukidhani wanasahau mapema kuna umri ukifika mtoto...
1 Reactions
14 Replies
168 Views
Habari wana JF, Naomba kufahamu jukwaa naloweza kuweka research zangu moja nilifanya kama mwanafunzi wa masters, nyingine nilifanya kama independent researcher nikiwa na mwenzangu. Naona ni...
1 Reactions
19 Replies
316 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Tatoo ni utamaduni kama utamaduni mwengine, na wala sikatai mtu kuchora tatoo kama anaona inafaa hata mimi nimechora ila kwa wanawake kuna mambo nimenote:- Ogopa sana mwanamke mwenye hizi sifa na...
14 Reactions
87 Replies
3K Views
Mkuu wa wilaya ya Buhigwe, Kanali Michael Nhayalina akimuonyesha eneo lililovamiwa na raia wa Burundi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(kushoto) wakati wa ziara ya kukagua...
1 Reactions
9 Replies
318 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,795
Posts
49,866,301
Back
Top Bottom