Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hapa nipo kwenye majonzi mazito baada ya kumpoteza rafiki yangu kipenzi, huyu jamaa yangu alikuwa anapenda sana kutumia dawa za kuboost nguvu zijulikanazo kama, njoi nilimshauri sana kupunguza...
46 Reactions
153 Replies
16K Views
Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa...
0 Reactions
21 Replies
407 Views
Habari wadau. Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba. Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo...
20 Reactions
36 Replies
900 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
138K Replies
9M Views
Samahani jamani mimi ninalipwa mshahara wa 300k kwa mwezi nafanya kazi katika kampuni moja hivi . Lakini pesa hii haikai kabisa, yaan hapa nilipo sijui natakiwa kutumia shngp kama pesa ya...
0 Reactions
8 Replies
116 Views
Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili. Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe ...
8 Reactions
61 Replies
2K Views
INTRODUCTION:. Kichwa cha habari cha husika ..... BODY:- Heri ingekuwa taasisi ya kukusanya tu kama TRA. Mida hii zile taasisi za kukusanya tu zinafikiria na kutunga activity za kumaliza bajeti...
10 Reactions
16 Replies
374 Views
Wakuu hii game imekuwa tough sana fujo za Kila aina nimemuonea huruma kimsingi amejitahidi kwa uwezo wake. ---
1 Reactions
36 Replies
1K Views
Wewe je? Kumbukumbu zako zimeanzia ukiwa na umri gani au tukuache kwanza? Wakuu msiwachukulie poa hawa madogo na msitende mambo hasi mbele yao ukidhani wanasahau mapema kuna umri ukifika mtoto...
1 Reactions
13 Replies
151 Views
TV yako haiwaki? TV yako inajizima? TV yako unasikia sauti huoni picha? TV yako inawaka nusu hazijazi kioo? TV yako imeingia giza upande mmoja? TV yako imeua taa? TV yako inarangi moja, njano...
6 Reactions
72 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,795
Posts
49,866,285
Back
Top Bottom