Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi. Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
10 Reactions
44 Replies
805 Views
Urusi imeishutumu Nato na Marekani kwa "kuchochea kiwango kipya cha mvutano" baada ya Marekani na Ujerumani kuwa washirika wa hivi punde kuruhusu jeshi la Ukraine kutumia silaha zinazotolewa na...
1 Reactions
1 Replies
8 Views
A
Shule ya Msingi Kitonga iliyopo kwenye Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam (Ilala) iliyopo Kata ya Msongola, Kitonga ina Wanafunzi zaidi ya 4000 ambao wanatumia madarasa 13 huku wakitegemea Walimu...
0 Reactions
7 Replies
250 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
43 Reactions
52K Replies
3M Views
Kuna wanawake walikuwa na nguvu bwana. Achana na akina Wema Sepetu. Achana na akina Mobeto. Yaani hawa walikuwa wanamuamrisha rais nini cha kufanya. Unajua CIA walikuwa makini sana kwenye...
2 Reactions
3 Replies
22 Views
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd. Mkataba huo wa miaka 30...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Mambo yako wazi hapa kwenye barua. Hoteli ya Ramada Resort inapongezwa kwa kuwa pepo ya mashoga (LGBT)
0 Reactions
4 Replies
95 Views
🫵Wewe ni wewe katika maisha ni wewe ukilia ni wewe ukifurahi ni wewe ukibakwaa ni wewe maana kila kitu kipo juu yako ni wewe. 🫵Ukiwa bora ni wewe ukishindia dagaa ni wewe jikubali katika haya...
4 Reactions
14 Replies
166 Views
Kama kichwa cha habari hapo juu naomba mtu anaeweza kuniambia duka la vitabu kwa kupata vitabu hivi
0 Reactions
14 Replies
126 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,108
Posts
49,765,281
Back
Top Bottom