Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba uongozi wa chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy muanze kumtazama lecturer Anayeitwa Majura anayefundisha masomo ya kiswahili. Lecturer huyu hana maadili ya ualimu ni mbabe ...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Ni baada ya watu Kuona kwanza bao lake halinogi nogi af pia uchafu mambo ya kunuka nuka Mavi katika chumba watu hawataki harufu za kibwege za nini watu walio jaribu wote wanajuta wanaona walifanya...
0 Reactions
3 Replies
47 Views
Simba bob junior alivyovamiwa na Simba wenzake kumpoka utawala wa nyika habari ilivuma sana hapa nchini na wadau wakasikitishwa na kifo chake mno. Nadhani hali itakuwa tofauti sana kwa faru...
8 Reactions
59 Replies
2K Views
Rais wa Iran afariki na nchi ya Iran yaweka siku 5 za maombolezi [1] vs Makamu wa Rais wa Malawi afariki na nchi ya Malawi yaweka siku 21 za maombolezi [2] 1. Iran yatangaza siku 5 maombolezi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
23 Reactions
526 Replies
14K Views
Kwanza naomba 'nidiclee' kwamba mm ni mmoja wa ME ambae si mtu wa fashion, yani mimi sijui kuvaa kabisa na sina hiyo passion ya pamba pamba. Nishawahi kusemwa sana na ma-ex wangu kuhusu uvaaji...
184 Reactions
1K Replies
198K Views
TANO KALI ZA NASIBU . Kabla matikiti hayajaanza kudondokeana yalistawishwa kwenye kitalu bora kabisa Cha bishoo bob junior pale sharobaro records. Nasibu Abdul Juma hakuviiba na kuviuza Vito vya...
6 Reactions
33 Replies
851 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
ni hali gani ilikukumba hata ukahisi una tatizo la nguvu za kijinsia? eeehe, eti ladies and gentlemen, ulipata changamoto gani hasa iliyokuthibitishia kuwa unaupungufu wa nguvu za kijinsia 🐒
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kisa cha kweli: Niliacha kazi nikajiunga masters ili nimsomeshe mdogo wangu chuo Hiki ni kisa cha kweli ilinitokea mara tu baada ya kupata kazi katika Shirika fulani hapa nchini. Tangu zamani...
4 Reactions
33 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,780
Posts
49,866,055
Back
Top Bottom