Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo. Kwenu wadau, naombeni mwongozo...
3 Reactions
43 Replies
436 Views
Habari wakuu. Kwa wakazi na wenyeji wa Iringa, naomba kufahamishwa vivutio au sehemu ambazo zinavutia nje ya mji ambazo itakuwa day trip...namaanisha nitakwenda na kurudi kulala mjini...
4 Reactions
180 Replies
2K Views
Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa...
0 Reactions
12 Replies
189 Views
Habari wadau. Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba. Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo...
16 Reactions
31 Replies
649 Views
Usiku hapa niko na hasira kama zote. Baada ya mwanamke mmoja niliyempa mimba na kuamua kuishi nae kwa ushawishi mkubwa wa ndugu. Kiukweli Mwanzoni wa maisha alikuwa binti mzuri Mwenye kila...
2 Reactions
17 Replies
54 Views
Kwema Wakuu! Acheni wivu! Yaani mkiona Watu wamebarikiwa jambo fulani roho mbaya zenu mbaya hazitulii. Wivu na maumivu moyoni yanawachoma. Mnaanza kuropoka mashudu yenu. Mkiona mdada mzuri tuu...
29 Reactions
302 Replies
17K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Nimestushwa na bwana mdogo wa UVCMM ambae hata public speaking yake haijakaa UZURI akijicholesha mbele ya media kuomba mtandao X ufungwe. With cheap justifications. Sijui ni lack of exposure au...
0 Reactions
2 Replies
18 Views
Ebana wanajamvi inakuwaje? Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi. Cha...
24 Reactions
132 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,776
Posts
49,865,897
Back
Top Bottom