Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
11 Reactions
108 Replies
2K Views
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio...
31 Reactions
277 Replies
3K Views
JE, WAJUA? Maisha ya Kenani yanatupa Somo - Amekuwa Waziri Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa - Amekuwa Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya vyuo vikuu Tanzania TAHLISO - Amekuwa mjumbe wa Kamati ya...
14 Reactions
76 Replies
18K Views
Tunapenda kufafanua taharuki iliyozuka leo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Askari Monument ya Dar es Salaam. Ni kwamba ujenzi unaoendelea katika Mradi BRT Awamu ya Tatu hautaondoa wala kugusa...
1 Reactions
4 Replies
186 Views
UNATAKA KUNUNUA NYUMBA/KIWANJA? HAKIKISHA HAYA KISHERIA USITAPELIWE. Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na migogoro ya mashamba, viwanja na nyumba hasa maeneo ya mijini. Kwa utafiti wa kawaida...
10 Reactions
15 Replies
15K Views
Mara nyingi sana ,popote pale, Mtu mjinga, ukamkuta amekoswa hata ule uelewa wa kitu kilicho mikononi mwake. Njia pekee anayotumia kutoonekana ni Mjinga Huwa ni kukaa Kimya , wao Huwa...
11 Reactions
26 Replies
458 Views
Hakika vijana ndo taifa la kesho na nguvu kazi kwa taifa na jamii inayomzunguka, tusipowekeza kwa vijana tunaweza kuja kuwa na jamii na taifa la hovyo hapo mbeleni. Ni upi ushauri wako ungeliwapa...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia. Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka. Awe baba kwa watoto wake...
18 Reactions
64 Replies
771 Views
Mwanaume mwenye uhitaji na wanawake wengi, hana furaha na yeye mwenyewe. Kwake kuwa na usikivu wa wanawake wengi, kunamsaidia kulisha nafsi yake, kuficha kutojiamini kwake. Huyu mwanamume...
3 Reactions
7 Replies
143 Views
  • Sticky
Full name: Manchester United Football Club Nickname(s): The Red Devils Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C. League: Premier League Website: ManUtd.com...
170 Reactions
202K Replies
12M Views

FORUM STATS

Threads
1,862,437
Posts
49,857,668
Back
Top Bottom