Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani?
Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la...
Unampenda, unamuamini, unamkubali, unamjali na kumthamini n.k
Kiufupi mnapendana sana na mko pamoja kitambo sasa....
Ila kuna jambo moja tu linakukera, linakufedhahesha sana, linakusononesha...
Serikali ni watu na katika watu kuna kundi kubwa la vijana ambalo lina nafasi ya kuipa serikali changamoto nchi ikasonga au ikadorola.
Sasa kwa vijana wenye hawa wa kula tunda kimasihara taifa...
Habari wakuu, kama title inavojieleza....tunaelekea mwaka mpya wa kiserikali(kibajeti)
Hofu yangu kuu ni kua tamisemi hawajafungua ajira za walimu na watu wa afya hadi mda huu naandika uzi
swali...
Full name: Manchester United Football Club
Nickname(s): The Red Devils
Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.
League: Premier League
Website: ManUtd.com...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.