Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.
Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi...
Siku hizi zimeibuka NGOs zinazojiasibu kutetea mwanamke.
Huwa najiuliza wanamtetea mwanamke dhidi ya adui Gani bila shaka ni mwanaume.
Hakuna mwanaume asiyehusika na mwanamke, hawa wanawake...
Inapotokea mfanyakazi wa taasisi fulani amefanya kosa mbele za umma na akaonywa mbele za umma pia, tunatarajia taasisi anayofanyia kazi kuwajibika, kwanza kwa kukubali kuwa kosa limefanywa, kuomba...
Ukiona maisha yako hayaeleweki eleweki, kupata milo miwili au mitatu ni shida, juwa una mapungufu katika hivi vitu vitatu:-
Uaminifu
Kujituma
Unaona aibu
Wapo watu wengi wana mitaji midogo...
Kwanini karo la choo linajaa haraka nifanyenini kisiwe kinajaa haraka?
Kama ambavo mada inajieleza hapo juu,
Naomba ushauri wako wa hali na mali, shimo au karo la choo changu kilijaa miaka 5 ya...
Hii trend sasa ni rasmi katika miji yote. 99% ya migahawa au cafe au vyovyote vile utakavyoiita, kwa nje lazima waweke na banda la chipsi.
Na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi. Na wakila...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
MSAADA WA KUFAMU JAMBO KUHUSU MKOPO WA SELIKALI
Habali wanandugu;
Mimi ni kijana wa makamo naomba kuuliza jambo. Huwa nimesikia kuwa katika hii nchi yetu huwa inatoa mkopo kwa vijana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.