Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mkurugenzi wa CHADEMA John Mrema amesema kitendo cha Wanachama wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA Ukurasani X Mrema amesema Sheria za...
6 Reactions
84 Replies
1K Views
Moja ya sababu kubwa ambayo watu wengi husema kwamba inawazuia kufanya biashara ni mtaji. Mimi huwa nakataa sana sababu hii kwa sababu haiwezekani leo huna mtaji, mwaka kesho huna mtaji na hata...
42 Reactions
187 Replies
57K Views
ASKARI POLISI NA DAS WAAMRIWA KUMLIPA RAIA MILIONI 10 KWA KUMUWEKA NDANI BILA KOSA. Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241. Mahakama kuu Kanda ya Manyara imeamuru askari polisi(OC-CID) na DAS...
6 Reactions
10 Replies
98 Views
Ilikuwa ni mwaka 2014 nipo facebook, nilipost picha yangu kwenye group la "tafuta marafiki na mchumba", kulikuwa na comment nyingi za mabinti, nikachagua mmoja ambae nimevutiwa nae kwa kuangalia...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Nilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara Kuna mahali nilikua na kakibanda...
8 Reactions
38 Replies
680 Views
Waumini wengi wa zinazoitwa dini mbili kubwa za Tanzania kuna mambo kadhaa inabidi mbadilike kuendana na mabadiliko ya wakati. 1. Kusalimia kila mtu "salameleko" Sijawahi kuelewa sababu za baadhi...
2 Reactions
11 Replies
177 Views
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
12 Reactions
414 Replies
7K Views
MAMBO HAYA USIMWAMBIE MWANAUE WAKO, HATA KWA KISU SHINGONI:- Idadi ya wanaume uliojamiiana nao kabla ya kuoana na mume wako: Hupaswi kumfahamisha mpenzi wako wa kiume au mume wako ni wanaume...
0 Reactions
3 Replies
8 Views
The Weekend - Out of Time
19 Reactions
4K Replies
76K Views
Habarini jamani, Kuna binti niliwahi kuwa katika mahusiano nae miaka ya nyuma kipindi tupo secondary lakini mahusiano yetu yalivunjika mara baada ya sote kujiunga na chuo Kwa sasa ni mke wa mtu...
1 Reactions
17 Replies
255 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,922
Posts
49,845,574
Back
Top Bottom