Kuna mada niliipitia hapa jf siku za hivi karibuni. Pamoja na maelezo mengi ila hoja mahususi ilikua inahusu favour ambayo wanaipata handsome boyz katika masuala mbalimbali.
Wenye sura personal...
Wakuu nipo nje ya mada ila naombeni msaada.
Ijumaa mchana kuna watu waliingia kwangu wakafungua geti na milango (sijui funguo walipata wapi) wakaniibia vitu vyangu then wakafunga milango kama...
Ulishawahi kuona yale Mazingira ya kushindwa jambo au kukosa fursa kabla hata hujaipata, basi kuna wakati unaweza kujikuta umefeli Interview hata kabla ya kupewa Majibu na Kampuni husika...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mpya kutoka kwa Tundu Lisu ni madai kwamba mtoto mmoja wa Rais Samia aitwaye ‘Abduli’ 🤣, alimpelekea Lisu rushwa nyumbani kwake.
Baada ya Lisu kuona hivyo eti akamwambia “shenzi”, kahonge huko...
Hii ni hakika. Tunetoka kwenye mvua kubwa, mifereji ya Jiji la Dar na vijito bado vinatirisha maji. Wananchi wachota hayo maji kwa matumizi Yao ya kila siku.
Bila haya maji, Jiji la Dar liko...
Salaam, Shalom!!
Kwanza nianze Kwa kuweka wazi kuwa, Mimi Si mwanachama wa chama chochote Cha siasa, na ikiwa Kuna yeyote mwenye ushahidi wa Rabbon kuwa mwanachama wa chama chochote Cha siasa...
Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.
Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.
Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule.
Kweli ni...
Katika mwaka wa elfu moja mia tisa sabini na nne, Tanzania, hasa Mkoa wa Kagera, ulipitia kipindi cha kiza kikuu. Jua liliwaka lakini hali ya njaa ilitanda kama kivuli kilichofunika furaha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.