Assalam aleikyum guys
Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi...
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini.
Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani...
Habari wapendwa, imekuwa ni kawaida na ndio naona ni kama style ya sasa kina dada kutongoza wanaume najiuliza hivi ni wadada wangapi waliotongoza wanaume na wakafanikiwa kimapenzi.
Na wakaolewa...
VIGEZO NA SIFA ZA MWANAMKE WA KUOA KWA 2024 - 2050
Anàandika, Robert Heriel.
Mtibeli
Pasipo kupoteza muda. Ikiwa wewe ni mwanaume unatafuta mke wa kuoa ili ujenge naye familia basi vigezo na...
Unajifahamu kabisa umri umeshaenda hata ukikojoa mkojo hautoboi mchanga halafu unaenda kudate kibinti kibichii, wewe umeshazoea haya mambo hakuna jipya, lakini chenyewe bado kina munkari kina...
Kiukweli putin kwa miaka kumi iliyoipita kwa kiasi amefanikiwa kuisumbua USA kutotimiza malengo yake kwa asilimia mia moja
Kuanzia kule mashariki ya kati,syria na hata sasa Ukraine
Lakini...
Wanaukumbi.
🚨BREAKING: TAMKO LA HAMAS- MAUAJI YA NUSSEIRAT NA OPERESHENI YA UOKOAJI WA ISRAELI.
“Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
Katika jinai ya kikatili ambayo...
Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika.
Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia...
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.
Ukikaa kwenye kisimbusi chako...
...tunaendelea
Ingekuwa hoja kama tusingemsema Magufuli kwa mfano, kuna mtu alimsema Magufuli kama mie? Kuna mtu alimsema Kikwete kama sisi? Mpaka Mkapa, mie kesi yangu ya kwanza ni ya Mkapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.