Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nani kaelewa hii code ya hawa watu.
8 Reactions
37 Replies
312 Views
Wanaukumbi. 🚨BREAKING: TAMKO LA HAMAS- MAUAJI YA NUSSEIRAT NA OPERESHENI YA UOKOAJI WA ISRAELI. “Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu Katika jinai ya kikatili ambayo...
2 Reactions
62 Replies
755 Views
Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka. Mkataba huo umesaniwa na Akram...
5 Reactions
91 Replies
1K Views
Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana...
11 Reactions
46 Replies
1K Views
Hizi gari watu wamezishobokea kindezi. Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.
9 Reactions
118 Replies
11K Views
Eti wakuu pale kwenye ibada inatakiwa kutoa pesa ngapi kama mchango wa sadaka au kiwango chochote ni sawa tu?
3 Reactions
16 Replies
102 Views
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio...
24 Reactions
192 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
HUWEZI LAZIMISHA MWANAMKE AKUHESHIMU, MWANAMKE ANAMHESHIMU MWANAUME ANAYEMPENDA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanaume wengi hudhani kúmpiga Mwanamke ndio humfanya Mwanamke awe mtiifu na...
20 Reactions
81 Replies
974 Views
Mpya kutoka kwa Tundu Lissu ni madai kwamba mtoto mmoja wa Rais Samia aitwaye ‘Abduli’ 🤣, alimpelekea Lisu rushwa nyumbani kwake. Baada ya Lissu kuona hivyo eti akamwambia “shenzi”, kahonge huko...
6 Reactions
32 Replies
335 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,656
Posts
49,836,721
Back
Top Bottom